Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Kama kuna watu wa kupuuzwa ni huyu Bw. Muro.

Najua anatafuta nini kutoka Administration hii...

Hana haja ya kujidhalilisha kupata u-DC maana ndiyo the most he could get!
Muro ni kichwa..yupo vizuri..pambana kamanda
 
Jeri Mulo anafanya kazi gani kwani????...

Hii hapa mkuu

MBWIGA.jpg
 
Back
Top Bottom