Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Me binafsi sioni ni kwanini tunachukua muda wetu kumjadili Jeni Muroho. Huyo ni kumpuuza sio kumpa cheap popularity
 
Jerry yuko Dodoma "anapikwa kichama",usishange kusikia ni Mkuu wa Mkoa au balozi huko ughaibuni.
 
Aendelee kupiga kelele tu, watakua wanakuja kina shonza wanaula alafu yeye wanamwacha anaendelea kusugua gamba tu
Kiukweli mkubwa ameishaonyesha wazi kwa watu wanaoweza kuwatukana Chadema hadi mkuu akafurahi ni lazima awalipe fadhila ya uteuzi
 
Hatafuti kiki, bali kuteuliwa. Walishaambizana kuwa ukitaka kuteuliwa tukana sana wapinzani hata kuwapiga vibao ukipata nafasi na msifie sana malaika mtukufu

Mtu kama huyu akiingia anga zako kukufuatiliafuatilia dawa yake ni kumpiga mpaka ajue kwamba yeye mbwa akishakizwa kwa simba asiende.
 
...Okay sasa UDSM au UDOM hii ni fursa mpya ya kuanzisha degree programme mpya ya matusi,kejeli na kujipendekeza....
 
Labda niwakumbushe ndugu zangu mnaopenda kuchungulia kwenye chungu hiki cha JF, kuwa anachokifanya Jerry Muro siyo ulimbukeni au bahati mbaya, bali anajua anacholenga kwani hii imekuwa mbinu ya vijana wengi wa Kitanzania kufikia malengo yao ya kuteuliwa katika nafasi mbalimbali katika awamu ya nne na hii ya tano.

Mnakumbuka jinsi Bashite alivyofanya maajabu hata ya kumzaba vibao mzee wa watu, pia alidiriki kukaa nyuma ya runinga kumtukana Lowassa, baada ya muda mfupi akateuliwa. Ni wengi ambao tunaweza kuwataja, ebu tujikumbushe jinsi kaka yangu Nape alivyomtukuna mzee Lowassa pale Iringa kwenye kampeni, kisha akazawadiwa nafasi ya uwaziri.

Imekuwa mtindo wa kutafutia nafasi za kuteuliwa kwa kuwatukana wapinzani na kusifia malaika mtakatifu. hicho ndicho anachokifanya Muro muda simrefu atateuliwa tu. anayebisha atarudi hapa kusema kweli ulitabiri.

Namuomba kaka yangu Muro aongeze bidii za kuandika na kuitisha midia kila siku, na anapopata nafasi ajitahidi kumsema Lissu vibaya, atateuliwa haraka.
Huyo bwanake mkuu wa .... na le mtu... z
 
Anatimiza kazi a mabwana zake! !sichokijua jerry murro ni kwamba hawezi kuwa mtu mwenye akili huku akiwa msema chohote. Hawezi
 
Labda niwakumbushe ndugu zangu mnaopenda kuchungulia kwenye chungu hiki cha JF, kuwa anachokifanya Jerry Muro siyo ulimbukeni au bahati mbaya, bali anajua anacholenga kwani hii imekuwa mbinu ya vijana wengi wa Kitanzania kufikia malengo yao ya kuteuliwa katika nafasi mbalimbali katika awamu ya nne na hii ya tano.

Mnakumbuka jinsi Bashite alivyofanya maajabu hata ya kumzaba vibao mzee wa watu, pia alidiriki kukaa nyuma ya runinga kumtukana Lowassa, baada ya muda mfupi akateuliwa. Ni wengi ambao tunaweza kuwataja, ebu tujikumbushe jinsi kaka yangu Nape alivyomtukuna mzee Lowassa pale Iringa kwenye kampeni, kisha akazawadiwa nafasi ya uwaziri.

Imekuwa mtindo wa kutafutia nafasi za kuteuliwa kwa kuwatukana wapinzani na kusifia malaika mtakatifu. hicho ndicho anachokifanya Muro muda simrefu atateuliwa tu. anayebisha atarudi hapa kusema kweli ulitabiri.

Namuomba kaka yangu Muro aongeze bidii za kuandika na kuitisha midia kila siku, na anapopata nafasi ajitahidi kumsema Lissu vibaya, atateuliwa haraka.
Inawezekana Jerry Murro anawajua waliomshambulia Lissu.
 
Ni kweli ana lengo la kutoka kupitia mlango wa zile siasa za majitaka na ndio maana aliforce kuwa msemaji wa yanga kama platform yake ya juu sana na sasa kavamia siasa za ccm asizozijua vyema! Laiti angejipa nafasi ya kuisoma profile ya kina Nape na Shibuda na Mudhihiri angefaidika na kuichagua njia ya kutoka iliyo salama.
Isitoshe, ile dhambi aliyowatendea wale traffic wa iringa na hata dadapoa wa mwembejini haitamwacha salama! Anahangaika na atahangaika sana mjenzi huyu wa hoja muflisi za kuwabambikia wengine majanga!
Nimshauri tu, unafiki haukuwahi kulipa bali kufedhehesha na kudhalilisha. Awaombe wote aliowakosea na kuomba toba kwa Mungu ili angalau apate faraja ya moyo na kinyume chake ni taabu na mateso maisha yake yote.
 
Jerry Muro hakuna alichokosea bali anazungumza ukweli.
Keep it up Jerry Muro endelea kuwaumbua hao Wasaliti na Mafisadi.
 
Back
Top Bottom