Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

From trillion 450 to billion 700 who is ignorant here??????? Washtaki kwa lipi sasa wakati wametengeneza u rafiki kwa kutumia akili and we are still exploited hahahaaaa OK endelea kumtukana mgonjwa tuu ila kumbuka wazungu wajanja sana , jaribuni kufuata ushauri
 
Mgonjwa amezinduka wakati mzuri sana...Wakati ambao wanaume wameshamaliza mapambano

Mgonjwa alisema kuzuia mchanga wa madini ni kosa kubwa na tutashtakiwa MIGA leo hii mgonjwa kazinduka na kuamka na kukuta tayari waliosema watatushtaki wamekaa meza moja na serikali na wamekubaliana na serikali mambo mbali mbali hali hii sio nzuri sana kwa mashabiki wa mgonjwa huyo wamesahau kuwa mgonjwa alibeza na kusema tutashtakiwa MIGA na tutawalipa wazungu mapesa mengi sasa hv wamebadilishia gia angani na kusema tumepewa pesa kiduchu sana wamesahau habar ya kushtakiwa na miga pamoja na kulipa pesa nyingi hahaaaaa..JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI THE PRESIDENT OF UNITED REPUBLIC OF TANZANIA kanyaga twende Rais wa watanzania shujaa wetu umezaliwa uchi bila nguo na utazikwa uchi bila nguo zaidi ya kuzikwa kwenye jeneza la futi 6


Kwa kweli amemka muda mzuri ishu ya kushtakiwa haikuwa rahisi kwa kuwa wazungu sio wakurupukaji kama wewe

Pili mgonjwa kaamka muda muafaka maana sasa mtalipwa $ bullion 700 ambayo mgonjwa nae anaweza pata japo kanoah kake

Aisee hilo taifa ni shida kwa tamthilia
 
Duhh!!! Ikifika mwakani mwezi january naomba urudi tena hapa na uanzishe thread kutuambia umenufaika nini na hiki unachokishabikia.

Leo kiongozi wao kasema watalipwa $bilion 700 so atapata japo ka rav 4 badala ya Noah
 
Bora kazinduka atuambie ukweli ni nini kilichompata, haiwezekani ushambuliwe kutoka kushoto uumie mguu wa kulia.

Sawa na kupigwa ngeu kichwani uumie goti!
 
Hongera jerry muro nimekuteua kuwa mkuu wa wilaya ya LING'ONYO
 
Hongera jerry muro nimekuteua kuwa mkuu wa wilaya ya LING'ONYO
 
wanaongelea wanachama wao wa BAVICHA

Hapana wanawaongelea hawa mafisem wanaochafua mazingira.


FISIEM.jpeg
 
Anaandika Jerry C. Muro

Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"

Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017
Chadema Wakiachia hii Nitajua kweli Wamelogwa! Ingekuwa ni mimi Jerry Angenyanyuka na Nyimbo za tenzi za Rohoni.
 
Atakapoamua kujiunga Na CHADEMA mtampenda sana. Kama mnavyo mpenda Mange Kimambi na Wema. Walipokuwa CCM mliwaona ma CD ya kinondoni. Leo J Murro mnatukana. Lowassa fisadi. Leo Mzee wa busara. Hii ndio CHADEMA kazi kula makombo yaliyohoza. (Oil Chafu)
 
Huyu kijana anakipaji kikubwa cha kuigiza, ndiyo maana na sema ni zaidi ya Kanumba. Na kumbuka alipokuwa msemaji wa Yanga. Duuuh! Jamaa alikuwa na uchungu na Yanga kupitiliza. Wote tuliamini huyu jamaa ni Yanga damu damu. Kibarua kilivyoota nyasi, mapenzi ya Jerry na Yanga katupa kule

Nakumbuka Manara alimuuliza, Jerry wewe na soka wapi na wapi? Ushabiki si hivyo, wewe unapitiliza.

Leo tunamwona kwenye siasa, kwa alivyomoto utadhani alikuwa mwanachama toka miaka ya Tanu. Yaani Yuko moto zaidi hata ya msemaji wa chama. Jamaa ni hodari katika kusaka tonge.
 
Anawashwawashwa San huyu chalii na Lissu hanaga hizo ishu anazozitaka
 
Huyu kijana anakipaji kikubwa cha kuigiza... ndiyo maaana na sema ni zaidi ya Kanumba...na kumbuka alipokuwa msemaji wa Yanga ...Du!!! Jamaa alikuwa na uchungu na Yanga kupitiliza.... Wote tuliamini huyu jamaa ni yanga damu damu.... kibarua kilivyoota nyasi ....mapenzi ya jerry na Yanga katupa kuleeee..

Nakumba Manara alimuuliza ...Jerry wewe na soka wapi na wapi ...ushabiki si hivyo..wewe unapitiliza.

Leo tunamwona kwenye siasa... kwa alivyomoto utadhani alikuwa mwanacha toka miaka ya Tanu.... Yaani Yuko moto zaidi ..hata ya msemaji wa chama.. Jamaa ni hodari katika kusaka tonge...

Jerry is a smart guy. It is a great pleasure kuona Jerry yuko CCM. I just hope siku moja Mheshimiwa Rais atampa u-DC. Anajua kujenga hoja. Kujibu mapigo. Kwenda na mabadiliko ya siasa. Big Up Jerry Muro!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom