tumuombee mdogo wetu jamani!
umri wake ni mdogo sana(28yrs),lakini AMEWEKA KUVULI KWENYE INTEREST ZA BIG-FISHES....!!
itamcost maisha kama hatakuwa mwangalifu...!
so true...ni kweli mkuu ila ktk maisha adui mbaya ni yule usiyemjua ndiye anaweza kukuua haraka lakini ukishamjua adui yako hofu una kama anavyofanya mdogo wetu anawalipua live
mdogo wangu jerry nakuupongeza
kwa kazi kubwa wee uloifanyaaaa
kufichuaa maovuuu makubwaaaaa
bila wewe sisii tusiingejuaaaaaaaa
OOOOOOOOOOOOOOO KAMA SIIIIIIIIIIIIIIIIIOOOOOOOOOOOOOOOO!...
kipi ujaelewa mkuu
kama sio juhudi zako jerry murro x3
matrafiki wangeumbuka liniiiiiii
kama sio juhudu zako jerry murro x3
hope hii ni njia sahihi ya kuwaenzi waanga wetu
Watanzania tuko nyuma yako,mungu akulinde akupe rehema zake
akulinde na kkusaidia katika maisha yako
munu ndie mlinzi wako usiogope
Mkuu usiendelee zaidi manake mtu unashindwa kuelewa kama kuna watu wanaweza kufikiri na kujua jambo kubwa na dogo ni lipi. Sie tunaita materiality of an issue!
Mkuu si utuambie nini kilitokea kama unajua ili nasi tujue kama tulizugwa au laaa?
FL, Unajua hivi vitu vya kwenye gani ni simple sana na ukiondoa vile very basic ambavyo labda ni ghali kama motorvehicle lisence, vingine can be manageable, ni kwamba tu some people hatujataka kucomply.
Mfano mimi kwenye gari nina kila stika, on top nimenunua fire extinguisher ambayo inaweza hata zima nyumba inayoungua, nina triangle mbili za uhakika, kila kitu nimejaribu kiko sawa and zaidi nimeprinti ile "road traffic act" ya 1973 kama sikosei with all amendments, pia kuna tangazo liko kwenye web ya polis nimeprint with all relevant documents nikaweka kwa folda moja. Kwa sababu huwa nazunguka zunguka tz mikoani, huwa nikisimamishwa tu naanza kumpa hiyo folder apekue anachotaka na siongei chochote. Huwa wanachoka manake nilisha pelekana na mmoja mpaka kwa mkuu wa kituo. Kati ya sehemu nilizo pita pita sijaona usumbufu wa kijinga kama niliokuta mbeya ndo ikanipelekea kuja na mpango huo. Ndio inaweza kuwa gharama lakini unafanya once and for all. Hivi sasa mpaka wengine wamesha ni crame hawahangaiki na mimi manake mimi SITOI RUSHWA kama kweli ikibainika ni kosa then nalipa fine ya 20K, na kitu cha msingi ukishalipa usiishie hapo hakikisha unapata excheque gvt receipt otherwise unaweza kuwa umetoa hongo tena kubwa ya 20k bila kujua kwa maana haitakuwa submitted to the accounts kama hujapewa hiyo risiti halali.
Otherwise big up Jerry for the work
kama sio juhudi zako jerry murro x3
matrafiki wangeumbuka liniiiiiii
kama sio juhudu zako jerry murro x3
hope hii ni njia sahihi ya kuwaenzi waanga wetu
Jerry Murro needs protection. Otherwise we're going to lose this brilliant guy
Watanzania wote tungekuwa hivi tungefika mbali sana!you are one of the personality of a dream Tanzania accidentally living in a screwed up TZ!!
wito kwa watanzania,tujenge utamaduni wa kujiamini,ikiwezekana tutembee na video camera kabisa,kurekodi upuuzi wa aina hii ukitokea