Jeremiah John Pombe apasua Darasa la Saba

Mimi jina la shule huwa linanichanganya, sijui mwandishi alikosea matamshi? Maana likiandikwa inavyotakiwa maskini hstutasogea.
 
Anadai na kusisitiza analipwa million 9!...ni kweli lakin tunajua watu wa Ikulu marupu rupu na posho na ile ingine haipitii kwenye payroll ileee...
 
Angesoma shule hizi za kawaida bado mngesema rais anashindwa kupeleka watoto wake shule za maana. Yaani kama mtaingiza siasa hata kwenye maisha binafsi ya familia ya rais siyo fair kabisa. Huu wivu wa kike hauwezi kukuondoleeni shida, kama wewe unashindwa kupeleka wanao huko, let those who afford send their kids. Hata vidole havilingani
 
View attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo

Hongera mtoto wa familia ya JPM

Mods sijakosea jukwaa

View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu

View attachment 613555
Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
Hahahahaha nilikuwa sijakupata mkuu feza mazingira magumu
 
View attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo

Hongera mtoto wa familia ya JPM

Mods sijakosea jukwaa

View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu

View attachment 613555
Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
Royal family, royal treatment, wahenga walisema mpaka mmbwa wa mfalme ni mfalme wa mmbwa.
 
View attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo

Hongera mtoto wa familia ya JPM

Mods sijakosea jukwaa

View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu

View attachment 613555
Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
Kula like yangu kwanza great thinker. Umenichekesha sana ulivyosema Feza Primary ni Shule ya Watanzania Maskini na Wanyonge

Mkuu Hapo akili kumkichwa
 
View attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo

Hongera mtoto wa familia ya JPM

Mods sijakosea jukwaa

View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu

View attachment 613555
Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
Asante kwa kusema ukweli wa "kizarendo"Maana huu ndio "uzarendo"Watanzania hebu tuweni "wazarendo" ili nchi iendelee.
 
Back
Top Bottom