Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
Naam sheikh Barubaru,
Habari za swaumu Sheikh wangu.
Alhamdulillah swaum inaenda vizuri.
Ila tu tuna majonzi kidogo ya kufungwa na AZAM kwa kipigo cha aibu 3. Lakin vile vile kumpoteza shabiki wetu mkubwa Mkaazi wa Kariakoo Mzee Azan Maangush aliyefariki juzi na kuzikwa jana huko Kisutu Dar es salam.
Inna Lillahi wainna ilaihi rajihunna.