Jenista Mhagama kalipwa sh. ngapi na Azam?

Jenista Mhagama kalipwa sh. ngapi na Azam?

Ameongelea mambo ya mhimili mwingine wa michezo ambao bado uko mahakamani. Angesubiri kwanza kiama cha Kandambili kesho au keshokutwa kutegemea kama atachomoa kwa Wanyarwanda.
 
Bunge lazima liwe serious kwa watu kama hawa na kuwapa adhabu tu
 
Nazani hakuwa na nia ya kutangaza product za AZAM alikuwa anawanang a.k.a kuwatupia vijembe washabiki wa simba akiwepo MH: RAGE ambaye ni mwenyekiti kwa kufungwa na AZAM FC katika michuano ya KAGAME POLENI SANA Washabiki wa simba ndio mchezo jipangen upya.
 
hivi unategemea uchague muuza bar pale mtekenyo pub sinza halafu awe na mantiki katika maongezi yake hata kama ni mbunge?no way ni utumbo tu ataongea
 
Back
Top Bottom