Jenista Mhagama kalipwa sh. ngapi na Azam?

Mleta mada kwanza declare interest, je wewe ni mpenzi/mshabiki wa Simba SC? MAANA HATA MIMI HAPA NAENDA KUNUNUWA BIDHAA ZA AZZAM sasa hivi.

swali lako zuri,mtoa mada hajakamilisha uzi,ilikuwa anatoa tangazo la azam bidhaa bora,na wapenzi wa simba wakashauriwa wanunue na watumie zaidi!NI UTANI WA MPIRA
 
Pasi na shaka yoyote mleta mada ni mshabiki wa SIMBA.

Pole sana. Kule kwetu Znz ( ipokuna barza moja maarufu sana)ipo sehemu pale malindi inaitwa Simba chai(utaona simba kapakatwa kisha ananyweshwa Chai) sasa kwa hili sima kapakatwa na kunyweshwa juisi tatu za Azam.
Pole sana

Kumbe! Ndio maana ndugu zetu wa bara wanauogopa mtaa wa malindi. Simba anapakatwa na kuchezewa masharubu sembuse binadamu.
 
Mwenyekiti wa Bunge Jenister Mhagama, wakati wa kipindi cha matangazo mbali mbali (kutambua wageni, ratiba za vikao vya kamati n.k.) amesema ana tangazo ambalo amefikiria ameona si vibaya likitangazwa.

"Waheshimiwa Wabunge Kampuni ya AZAM inawatangazia waheshimiwa wabunge kwamba watumie bidhaa za Azam... (kicheko ukumbuni!) ...aidha, AZAM inawatangazia wabunge kwamba bidhaa za AZAM ni bora kwa afya."

Ndugu zangu, hii ni sawa? Serikali (na hususan Bunge) kazi yake moja kubwa ni kusimamia, ku monitor, mienendo ya biashara nchini. Kitendo cha Bunge kutangaza biashara za Bakhressa ni kinyume na maadili ya utawala bora, na si jambo la kufanyia utani na kuchekeshea bungeni. Utawezaje kumratibu mfanyabiashara ambae unamtangazia biashara yake wewe mwenyewe?

AZAM amelipia shilingi ngapi, na wamemlipa nani (Jenister Mhagama?) kutumia muda wa bunge na wa TBC kutangaza biashara? And why AZAM? Kamati ya maadili ya Bunge iko wapi, viongozi wa Bunge mbona mnashusha viwango vya bunge hili namna hii?

hakuwa na maana yakutangaza bshara,bali ni utani wa SIMBA na YANGA,kutaja bidhaa nimakosa ya kibnaadamu na anajuwa kabisa nikinyume cha kanuni na talatibu za bunge.
 
Tuwe tunaenda na matukio. Hivi we mleta mada wakati unaandika ulikua unafikria kutumia nini? kama ulitumia masaburi pole. AZAM FC.
 
Attachments

  • YANGA+NA+APRR.jpg
    YANGA+NA+APRR.jpg
    58 KB · Views: 41
mimi tangia siku nilipomuona huyu mama anaongea mchana kweupeee kuwa "waliomtake Dr. Ulimboka Stephen walikuwa wamevaa nguo kama za polisi kwa hiyo watakuwa ni CDM maana ndio huvaa magwanda yanayofanana na hizo nguo" ndipo taingia siku hiyo imani ikaniishia juu yake.
Na bahati nzuri Mwanasheria mkuu alinipa mwanga baadae kuwa 'vichwa sio kwa ajili ya kuotesha nywele'

Yaani ndugu yangu miaka yote hiyo ulikuwa na imani naye mpaka alipoongelea suala la Dr. Ulimboka!? Duh! kama ma great thinkers hawawezi kuwatambua wanaotumia vichwa kuotesha nywele badala ya kufikiri kwa muda mrefu hivyo, basi bado tuna mwendo mrefu sana kuondokana na hawa viongozi uchwara.
 
hapana mkuu, unajua sisi tumeumbwa na Mungu huyu huyu kwa hiyo inabidi kuvumiliana na ndicho nilichokuwa nikifanya kwa muda wote huo kwa imani kuwa "chaguo la wengi ndilo chaguo la Mungu". Lakini nilipofikia ndipo hapo mkuu, uzalendo umenishinda

Mwenyekiti wa Bunge Jenister Mhagama, wakati wa kipindi cha matangazo mbali mbali (kutambua wageni, ratiba za vikao vya kamati n.k.) amesema ana tangazo ambalo amefikiria ameona si vibaya likitangazwa.

"Waheshimiwa Wabunge Kampuni ya AZAM inawatangazia waheshimiwa wabunge kwamba watumie bidhaa za Azam... (kicheko ukumbuni!) ...aidha, AZAM inawatangazia wabunge kwamba bidhaa za AZAM ni bora kwa afya."

Ndugu zangu, hii ni sawa? Serikali (na hususan Bunge) kazi yake moja kubwa ni kusimamia, ku monitor, mienendo ya biashara nchini. Kitendo cha Bunge kutangaza biashara za Bakhressa ni kinyume na maadili ya utawala bora, na si jambo la kufanyia utani na kuchekeshea bungeni. Utawezaje kumratibu mfanyabiashara ambae unamtangazia biashara yake wewe mwenyewe?

AZAM amelipia shilingi ngapi, na wamemlipa nani (Jenister Mhagama?) kutumia muda wa bunge na wa TBC kutangaza biashara? And why AZAM? Kamati ya maadili ya Bunge iko wapi, viongozi wa Bunge mbona mnashusha viwango vya bunge hili namna hii?

Matangazo kwenye kila Movie yapo. Bunge letu siyo bunge ni Kumbi la Cinema. Si afadhali kusikiliza matangazo ya AZAM Large TAX Payer kuliko kusikiliza dakika 10 anazopewa Mwigulu kuchafua hali ya hewa.
 
Thetehetehet kufungwa kubaya Jamani............inaeleweka kabisa kuwa mnayama alikalishwa kwenye chupa yenye mafuta ya kula ya AZAM kisha wakaomba juice za Azam wakanyimwa................leo hiii tuna divert mada......labda tukumbushi tuu Jana limtu liitwalo John Bocco ambalo washabiki wa Yanga na Simba hawampendagi sababu ya kuwafunga na ndio maana humzomea akiwa na timu ya Taifa.....alizaa na Simba watoto watatu wenye sura za mikate na ufuta.
 
inawekana akawa mwepesi kiasi hiki? atakua kapewa pesa, unajua watu wengi wanafatilia bunge, kwa kupitia redio, tv, na hata mitandao sasa mfanyabiashara akifanikiwa kupenyeza matangazo yake mjengoni anakua kapata bonge slope, yule mama nahisi atakua kawezeshwa sio bure

" taireni jamani, isijekuwa huyu Mh. ni mpenzi wa Yanga SC, hebu mfuatilieni, msiruke tu kwenye conclusion"
 
someni nyakati. Alikuwa anawakejeki wabunge ambao wanashabikia simba kwa kipigo cha jana. Mwisho 2we makini kabla ya kuposti sio kupost post vitu ambavyo hata hujafikiri
 
Hata mi nimeona it was a complete joke, alieleta tangazo alimaanisha kichapo cha simba jana. Mods hamisha huu uzi entertainment/sports.
 
Pasi na shaka yoyote mleta mada ni mshabiki wa SIMBA.

Pole sana. Kule kwetu Znz ( ipokuna barza moja maarufu sana)ipo sehemu pale malindi inaitwa Simba chai(utaona simba kapakatwa kisha ananyweshwa Chai) sasa kwa hili sima kapakatwa na kunyweshwa juisi tatu za Azam.
Pole sana

shika adabu yako........nani kapakatwa???
 
swali lako zuri,mtoa mada hajakamilisha uzi,ilikuwa anatoa tangazo la azam bidhaa bora,na wapenzi wa simba wakashauriwa wanunue na watumie zaidi!NI UTANI WA MPIRA
hivi kumbe bungeni pia ni sehemu ya utani pia?
 
hakuwa na maana yakutangaza bshara,bali ni utani wa SIMBA na YANGA,kutaja bidhaa nimakosa ya kibnaadamu na anajuwa kabisa nikinyume cha kanuni na talatibu za bunge.
kama anajua inakuwaje afanye hilo kosa la kibinadamu kama siyo kusudi?
 
Back
Top Bottom