Jenista Mhagama Aanguka

Status
Not open for further replies.
Haya ndiyo matatizo ya kuvutiabbangi chooni kila kitu kudanganya tu hata kama kipo wazi hakuna mbunge wa ccm hata mmoja mwenye kisukali kama wazee wenu wa cdm.

Vp baba riz nae huwa anaimbisha ngoma????, kweli ww ni sumu yenu
 
ndugu zangu kwahili naungana na simiyu ni kwamba kwa tamaduni zetu ss wangoni kwa upande wa wanawake tunautamaduni wa kubiringita chini tukimsnisha furaha na shukrani za dhati na heshima kwa mgeni ama mtu flani muhimu.

mnavua mpaka nguo kama alivyofanya mtajwa?
 


AKICHEZA
 
Simiyu Yetu unamaanisha mama alikuwa anamchezea mwenyekiti kwa kumwaga radhi namna ile?basi ipo kazi nahao akina mama.hembur ekebisha fikra zako.
 

Mmmmmmmmm! Umesahau KITOTO.
 

kAMA KAANGUKA ungeziona sura za watu, zisingekuwa za furaha. Na wote wangemzunguka kumuinua. Lakini ukiangalia unaona wametulia tena wanacheka jinsi mama anavyokula raha na ngoma za kingoni.

Wewe mtunga thread hujajaribu kuicheza ngoma hiyo, hata wewe utakwenda ardhini tu kwa raha yake.

Hupiti ubunge Ruvuma bila kucheza Ngoma na kugusa ardhi.

Hukumuona Bush alivyocheza nini?
 
Mimi nilikuwa haop, ni kweli dada yetu alianguka, sasa kama ilikuwa ni ngoma au ni kweli ulikuwa mweleka kama ile mieleka ya brother kma kawaida ya kampeni zetu kwa kweli sijui lakini kuanguka alianguka.

asante mkuu, ungetujuza zaidi
 
isome thread vizuri mkuu, nimesema YUMKINI, sija-conclude kwamba kaanguka, ila picha imenipa jibu, but angalia mchangiaji mmoja anasema yeye alikuwepo eneo la tukio
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…