angelique jolie
Senior Member
- Jul 1, 2013
- 101
- 14
Kazi na dawa
au ndio anatumia sijui kalamite ...
ni sawa nakusubiri embe lidondoke kwenye mti wa mbuyu labda kunguru akuibie sehemu la sivyo nenda bafuni na sabuni yako yakipande mvuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuute mpigie bao zake 2 au 3 nenda kalale usituchoshe .
Best hawa ndio aina ya wale wanaume, wasione avatar nzuri hapa....utaliona hilo mbiombio na miudenda yake breki ya kwanza PM...
asante mwalimu wa maisha ila utanisamehe kidogo maana hapa nipo kwenye mapenzi tukutane kwenye maisha mtaani
wakwako kwan
Hakuna kitu kinaitwa mapenzi hapa...ungelikuwa unayajua mapenzi usingeandika kuwa nia yako ni kumt.omba tu walau mara moja...
Hivi unafahamu thamani ya mwanamke wewe? au basi tu umeamua kujiwehusha....???
ushoga ???akati wenzako wanasave cost na kukwepa ukimwi?????????huu ni sawa na ushoga
kimekuuma sana
Ha ha haaaaaaaa! Huyu ndio Madame B ukimwoma mwingine fake! Kwi kwi kwiiii! Madame B huishi kunifurahisha maana huwa haukopeshi wala nini! Sometimes majibu yako huwa yananifikirisha sana. Msaidie mwenzio. Lol!Siwezi kukutongozea mwanamke mwenzangu wakati mie mwenyewe nakutaka na ninauwezo wa kukupelekesha puta kitandani vile vile Majaribu2013.
Umbea utakuua lol
Mzima wewe? Nimefurahi kuuona mwandiko wako hapa.
Ngoja nikuPM
ha ha ha umbea huu hasa ukipiga na ..... Unannga sana
Hii kali mama wa masajiSiwezi kukutongozea mwanamke mwenzangu wakati mie mwenyewe nakutaka na ninauwezo wa kukupelekesha puta kitandani vile vile Majaribu2013.
I see
Ni stage ya kukua tu.
Wengine wanamuwaza Malia wengine baba yao Obama, mradi vurugu tu
...mbuzi kafia kwa muuza supu.
Laiti kama mawazo kama hayo ungeyaendekeza kwenye ujenzi wa uchumi wako binafsi, naamini ungelikuwa mbali kimaisha.
Hii sred nadhani ni Promo (bofya hapa). Ukifungua utaona kuna mapicha ya odama na aliyeyapost ni Jennifer Kyaka (JENNIFER KYAKA "ODAMA" at No comments: )). Kweli ni mapito aisee.... Pole yake