Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
Jamani, hili ni jaribu langu huu mwaka, nampenda sana huyu binti/mama haijalishi awe ameolewa au hajaolewa ila kiukweli huwa silali hata nikiona movie yake. Siku hizi nikiona tu kwenye movie jina lake linapita nabadili channel, kwenye facebook niliblock.Kiukweli nampenda kiasi huwa nawaza kwenye 6:6 yaani sijui nitazimiaje duh!
Jeni kama umo humu mimi nakupenda sana angalau mara 1 tu, ukweli sina hata pesa za kukulipa sina, ni mbeba box tu wa mjini, sina pesa ya kukulipa ila sitakuomba nauli wala vocha, vipi? aisee kama unalikubali ombi langu nipm jaman yaaani. mengine nitakueleza chumbani
==============
update
miaka yangu 25