Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,867
- 172,573
Siwezi kukutongozea mwanamke mwenzangu wakati mie mwenyewe nakutaka na ninauwezo wa kukupelekesha puta kitandani vile vile Majaribu2013.
Teh mbwa kala mbwa....
Siwezi kukutongozea mwanamke mwenzangu wakati mie mwenyewe nakutaka na ninauwezo wa kukupelekesha puta kitandani vile vile Majaribu2013.
acha wengine ni kama tunamizimu kunako uwanja huummmmhhhhhh.. Failed To Open!
mboni unafurahi mkuu..
sawa, ahsante! anaonyesha ni mrembo
Laiti kama mawazo kama hayo ungeyaendekeza kwenye ujenzi wa uchumi wako binafsi, naamini ungelikuwa mbali kimaisha.
mmmmhhhhhh.. Failed To Open!
Teh mbwa kala mbwa....
ni sawa nakusubiri embe lidondoke kwenye mti wa mbuyu labda kunguru akuibie sehemu la sivyo nenda bafuni na sabuni yako yakipande mvuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuute mpigie bao zake 2 au 3 nenda kalale usituchoshe .
...mbuzi kafia kwa muuza supu.
nilimshika na mkono duh niliugua wiki 2umeshawahi kumwona live? au umemwona kwenye picha tu?
nilikuja mbio nilijua jenifèr nyamitako↲
Tatizo uchumi wake anaukalia tu............Laiti kama mawazo kama hayo ungeyaendekeza kwenye ujenzi wa uchumi wako binafsi, naamini ungelikuwa mbali kimaisha.
nilimshika na mkono duh niliugua wiki 2
nisawa vyote nafaiti
sasa kama uliugua kwa kumshika tu mkoni ukimkumbatia si utakufa kabisa
Tatizo uchumi wake anaukalia tu............
Watu wenye kuhangaikia maisha huwa hawana muda na mawazo ya kijinga kama hivi...
Nina kila sababu ya kuamini kuwa kilichokupelekea kuandika hapa ni mihemuko kwa ushirikiano na kifanyio chako...
Ukishaanza kuona mwanaume anawaza namna gani ya kumpata mwanamke ili alale naye tu, jua kichwani hakuna kitu...
Wanawake sio wansesere wa kuchezea yaani ukiuona tu dukani basi unataka kuumiliki, wanawake ni watu kama wewe...
Ukitumia mbinu kama hii kumpata mwanamke, haki ya Mungu nakuhakikishia wewe mwanaume na huyo mwanamke wote ni wa kudharauliwa....
sana tu