Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Ulikua unafuatilia Bunge? Je ulifuatilia majibu ya WAZIRI wa ELIMU na ya WAZIRI wa AFYA Da' Ummy? Ujue nyie CDM vichwa vyenu sijui vikoje....mnapenda kukandia KILA kitu....midomo kama kichungi...
Unataka kusema nini kuhusu huyo waziri kwamba sasa kila mwanafunzi anakaa kwenye dawati na hakuna mwanafunzi anasomea chini ya mti?
 
Mbona jangwa? Wameshindwa hata kupanda miti? Toka ilipoanza ujenzi mpaka Sasa pangekuwa na miti inayokua!
 
...Na tunaaminishwa kuwa ni Nchi ya ' Amani, Utulivu na Mshikamano'!
Nchi wanazouana Ovyo kama Marekani Ikulu ni Mahali pa Wananchi kutembelea na kupiga picha za Ukumbusho.kwenye Fence yake. Jaribu Tanzania....!!?
 
Huku Chamwino Dodoma, wapo free. Hawana shida kabisa. Na kwà hapa nje kuna Garden
 
Hata kama haendeshi nchi vizuri, ni wajibu wetu kumuombea kwa Mungu amuongoze na kumlinda kiongozi wetu kwani yeye ndiye hutoa ulinzi na hekima
...Unakuwa Wajibu Wetu vipi wa Kumuombea Kwa Mungu kama haendeshi Nchi Vizuri ??[emoji848]
Ungeweza Kumuombea mema Kwa Mungu Iddi Amina Dada wa Majirani ?? [emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…