Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Msikiti huu Islamic state
 
Hiyo historia ya utawala Ina memory gani nzuri kwenye jamii ya Tanzania Hadi waifanyie restoration?kama issue ni restoration ya historia ya utawala kwani hatukuwa na kingdoms zetu kwenye pre colonial era?
 
Jumamosi siku ya kwanza ya Jumaa, Mosi ni moja, jumapili ni mbili, jumatatu ni tatu na kuendelea na mwisho wa juma ni ijumaa
 
So tungejenga tembe? Kingdom zilikuwepo na ni tembe.nenda village museum pale utaona. Nakupinga kuona uamuz huu unaona kama ilikua rahisi tu kufikiwa .vitu ving vimekua considered. Hapo kuna approaches nying zimekua considered. Heshimu mawazo ya wataalamu wetu
 
Jumamosi siku ya kwanza ya Jumaa, Mosi ni moja, jumapili ni mbili, jumatatu ni tatu na kuendelea na mwisho wa juma ni ijumaa
1. Inategemea unazihesabu kwà kutumia ubongo wa upande upi

2. Inategemeana na uliingiaje kwenye siku ya juzi, jana, leo, usiku au kesho kwà kutumia mguu gani

By the way, kwani wewe upo katika group gani la Damu?
 
Wapande miti na maua kupapendezesha zaidi
Miti ipo ya kutosha, na maua yapo ya kutosha. ( Ordinary ...ambayo sio mageni kwetu )

Nashauri, kwenye department ya mazingira kuwepo na mtu mtundu wa kuwa anakwenda kutafuta species adimu za maua na miti,...ili mazingira ya Ikulu yawe extraordinary
 
Watu Dodoma hawana maji ya kunywa mnakwenda kujenga ikulu kuubwa na hamuishi humo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…