Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,239
- 40,759
Inawezekana upo sahihi lakini siyo kila kilichofanyika miaka ya mbali huko haliwezekani kurudiwa na kuboreshwa miaka yetu hii, styles nyingi hata za maisha za kale kama mavazi,utunzaji wa nywere,viatu zinarudi in a morden wayView attachment 2628292View attachment 2628293View attachment 2628294
Victorian Architecture. Miaka 200 iliyopita. Sisi tunakuja kujenga pagala halafu gharama yake sasa unaweza kuzirai
Pinga hoja kwa kuleta hoja, wewe unajua kwa nini Mwl Nyerere alifanya maamuzi ya kuhamishia makao makuu ya nchi kwenda Dodoma miaka hiyo?Una umri gani Ndugu?
R.I.P Legends JKN & JPM
KitovuPinga hoja kwa kuleta hoja, wewe unajua kwa nini Mwl Nyerere alifanya maamuzi ya kuhamishia makao makuu ya nchi kwenda Dodoma miaka hiyo?
Nchi yetu ni ya Kiislam. Sifa zote njema zinamstahiki Allah.Hapana,kujenga ikulu Kama masjid hajakaa poa.....kwani Hawa ma architecture Kwa Nini wasibuni design mpya?Kuna haja gani ya kung'ang'ania ukoloni?
Kama Serikali haina Dini. Dini ya Nchi itakuaje Islamic? Aaah sio kweli bhana!!Nchi yetu ni ya Kiislam. Sifa zote njema zinamstahiki Allah.
Safi sana... Mama SAMIA anaupiga mwingi au sio?Nafuatilia mubashara tukio hili muhimu.....
Sio kweli bhana.Marehemu aliisababishia nchi hasara
Ndo ukweli ambao wengi hatutaki ukubaliSio kweli bhana.
Tujitahidi kuwa na shukurani kwenye vitu vizuri.Ndo ukweli ambao wengi hatutaki ukubali
🥴🥴🥴🥴🥴Mshaanza wafia dini za kuja na majahaziNchi yetu ni ya Kiislam. Sifa zote njema zinamstahiki Allah.
Burj Khalifa ipo Kwa waarabu imejengwa Kwa mfumo wa Brian Deacon nyie wamatumbi ni Nani mbishe?Hatuwezi kujenga majengo yetu kwa mfumo wa akina Brian Deacon.
Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam na Sunnah.🥴🥴🥴🥴🥴Mshaanza wafia dini za kuja na majahazi
Alialikwa,..akasema yuko busy kutengeza mabomu ...hana muda!Nasikia Ikulu ya mwanzo ilijengwa kwa msaada wa raisi wa Korea Kaskazini enzi hizo komredi Kim Il Sung ambae ni babu yake Kim Jong Un(Kiduku), so nilitegemea Kiduku aalikwe kwenye sherehe za uzinduzi
Kwa maelezo uko sahihi limezungushiwa uzioHivi hilo eneo lote za Ikulu (ekari 8,473) limezungushiwa uzio?