DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 40,559
- 99,422
Tasnia ya ujenzi imetoka mbali Sana,
Hili linaitwa jengo la flat iron, jijini New York
Waweza kupata picha dunia ilikua na wakandarasi wa ubora gani mpaka kusimamisha jengo refu la gorofa 22 kama hili mwaka 1903 jijini New York,marekani
Ni kipindi ambacho hata binadamu hajaanza kutumia gari.
1. Wataalam wa ujenzi mnaweza kutwambia Hawa jamaa kipindi hicho walifanikiwa vipi kupandisha hizo kuta, tofali au zege uko juu na jengo likasimama strong mpaka leo hii?.
2. Wataalam wa historia mnaweza kutukumbusha Tanzania kipindi hicho tulkua na majengo ya ubora gani?