Jengo la Flat Iron lilijengwa kabla ya uzinduzi wa magari

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,495
99,292
Tasnia ya ujenzi imetoka mbali Sana,

Hili linaitwa jengo la flat iron, jijini New York

Waweza kupata picha dunia ilikua na wakandarasi wa ubora gani mpaka kusimamisha jengo refu la gorofa 22 kama hili mwaka 1903 jijini New York,marekani

Ni kipindi ambacho hata binadamu hajaanza kutumia gari.

1. Wataalam wa ujenzi mnaweza kutwambia Hawa jamaa kipindi hicho walifanikiwa vipi kupandisha hizo kuta, tofali au zege uko juu na jengo likasimama strong mpaka leo hii?.

2. Wataalam wa historia mnaweza kutukumbusha Tanzania kipindi hicho tulkua na majengo ya ubora gani?

main-qimg-67cdb4a564cf12308f5399760d33daeb.jpg
 
Hon. Deepond thanks for sharing this article this building from 1903 is truly remarkable in a construction world.
But in 1903 cars existed for USA they managed to produce 11,200 cars during that year, below are the type of cars in 1903.
Screenshot_20221108-085908.jpg
 
Tasnia ya ujenzi imetoka mbali Sana,

Hili linaitwa jengo la flat iron, jijini New York

Waweza kupata picha dunia ilikua na wakandarasi wa ubora gani mpaka kusimamisha jengo refu la gorofa 22 kama hili mwaka 1903 jijini New York,marekani

Ni kipindi ambacho hata binadamu hajaanza kutumia gari.

1. Wataalam wa ujenzi mnaweza kutwambia Hawa jamaa kipindi hicho walifanikiwa vipi kupandisha hizo kuta, tofali au zege uko juu na jengo likasimama strong mpaka leo hii?.

2. Wataalam wa historia mnaweza kutukumbusha Tanzania kipindi hicho tulkua na majengo ya ubora gani?

View attachment 2409939
Sijafanikiwa kuzoom in kujua actual materials zilizo tumika. Infact unaweza kujenga kwanza framed structure Kwa kuanza na ground then first floor na kuendelea huku ukipandisha materials kupitia stairs. Na hope inaweza kuwa ni steels framed one. Unaenda Kwa mwendo huo hadi inafika floor ya mwisho.

Baadaye unaanza kujenga Kuta Kwa kufata mtiririko huo pia. Ingawa kwenye Kuta na partitions unaweza kujenga huku unaendelea na frames Kutegemeana na plan yako.

Kitu muhimu na nina uhakika nacho ni quality ya Vifaa vya zamani ilikuwa juu sana.

Kuna workshop Moja pale Coet ilijengwa na Mjerumani Mwaka 1938 au 1958 hivi kama sijakosea, jengo liko vizuri hadi leo. Hakuna cha nyufa Wala nini licha ya activities zinazoendelea mule.

Miaka ya hivi karibuni technology imekuwa but tunaharibu kwenye materials quality, uchakachuaji umekuwa mwingi mno. Engineer anataka akipewa jengo la 1.5B basi akimaliza Kusimamia na yeye nyumbani awe amejenga nyumba ya 200M na gari Juu 😢
 
Hon. Deepond thanks for sharing this article this building from 1903 is truly remarkable in a construction world.
But in 1903 cars existed for USA they managed to produce 11,200 cars during that year, below are the type of cars in 1903.View attachment 2409969
Dah hii Benz Body lilikuwa mwili wako, ukipinduka ujue litakuvuruga vuruga kwenye michanga adi ukome.
 
Back
Top Bottom