jeneza

jeneza

Badu

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
407
Reaction score
106
Kuna Jamaa alifiwa hivyo
akaenda kununua jeneza, baada
ya kulinunua akakodisha pick-uk
na akakaa nalo. Njiani kuelekea
msibani mvua ikanyesha sana so
jamaa akaingia ndani ya jeneza
kujikinga na mvua. Njiani watu
waliomwomba dereva lift ili nao
wafike msibani, nao wakakaa
nyuma pamoja na jeneza. Kufika
kwenye foleni si jamaa akafunua
jeneza akauliza "Vipi Mvua
Imekata". Wananchi Nduki.
 
Ha ha ha, umenchekesha mkuu. Inaitwa run first ask questions later.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom