Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr aliyeshika nafasi ya larjan aangamizwa

Inakuaje viongozi wa Iran wanauawa sana ni kwamba hawawezi kujilinda au wanafeli wapi
Pesa mkuu, kama Mojtaba tu imewekwa USD 10 Million kwa atakayevujisha siri za alipo sasa hizo ni zaidi ya TZS 23 Billion nani akatae kwa nchi za ulimwengu wa tatu?

CIA na Mossad zinapata ujasusi mwingi sio sababu ya uwepo wa assets zao ila pesa inatumika sana kununua taarifa.

Kumbuka hawa makamanda wana wake zao, watoto, mashemeji, michepuko, wapinzani n.k so anybody anaweza kutumika.

Pesa ni noma sanaaaaaa lazima mate yakutoke otherwise uwe mtu very loyal kwa state..

Ni jambo la muda MOJTABA ALI KHEMENEI SUPREME LEADER ATAFIKIWA...

LET WAIT & SEE
 
.Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr, aliyechukua nafasi ya Larijani, kuna uwezekano mkubwa aliangamizwa jana usiku baada ya maficho yake kusambaratishwa!!
Niko out of touch. Hivi vita nani analemewa.
Nasikia US kachakazwa kaomba poooo, na Iran kakataa. Ni kweli?
 
Back
Top Bottom