akenajo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 1,634
- 613
nawashuri wale wote ambao hamjafungwa katika jela ya mapenzi fanyeni hima mje gerezani,mwenzenu naingia mwaka wa tisa huu gerezani raha tupu,au hamjui ilipo mahakama za mapenzi ? Wajuzi waambieni ilipo mahakama ya mapenzi ili wakahukumiwe tuje tuungane nao humu gerezani