Na wewe nawee!Hahahaha unakula daku sa 3 lol......unavunja sharia bana !
Tatizo lako we TANMO umekuwa ka pimbi aliyegawa mikia yote akasahau kujibakizia,yaani katika wambeya wa jf umesahau kujioridhesha pamoja na mpaka kuanzisha kiu/ijumaa ya jf?
Ama kweli nyani haoni kundule!
Hehehehhe mie mzima ummu kulthumu platozoom lol.....sikujua kumbe wewe na platozoom mshakuwa mwili mmoja tehe hongereni ila mie nimemuiga Erickb52 hayo mengine muulize yeye lol
na wee mke wa mtu acha kutongoza vijana hazarani!
Na wewe nawee!
SL !
Umekuaje ?
Alokwambia means ya DAKU lazima iwe ubwabwa , chapati, au nini viko mezani ndiyo daku ? Nani kakwambia?
Huyo si ni mtu mdhima ?
Akikwambia daku si lazima iwe daku uijuayo wewe!
Daku iko na category nyingi !
Usikue na formula moja kama ya bata kuangukia kushoto!
Nway vipi shem tumepotezana long faka !
Kulikoni ?
Nakuona tu unachafua CV yangu kwa Umm
Na wewe nawee!
SL !
Umekuaje ?
Alokwambia means ya DAKU lazima iwe ubwabwa , chapati, au nini viko mezani ndiyo daku ? Nani kakwambia?
Huyo si ni mtu mdhima ?
Akikwambia daku si lazima iwe daku uijuayo wewe!
Daku iko na category nyingi !
Usikue na formula moja kama ya bata kuangukia kushoto!
Nway vipi shem tumepotezana long faka !
Kulikoni ?
Sitaki mshenga......nabeba mzigo kimyakimya
Ishaalah nitavuka salamaPlato!
Pole sana!
Naona misukosuko unayokumbana nayo!
Utadhani misukosuko ya Mv. Skagit ?
au ya Mv. Irelander ?
kwa style hii zama za kale utaziweza!!??Wow!!
Hebu ngoja nilisikilizie kwanza halafu nitakuambia kama linatosha.:nerd:
Haya baba kila la kheri na siku unga ukizidi maji pia ulie kimya kimya ......ole wako uje hapa eti oooh ummu kulthum kanitenda nisaidieni !
Hapa mna diskasheni gani msilale hadi mida hii?
who is causing havoc here...
sweetlady, ummu kulthum, TANMO, Platozoom, Judgement, dogo Erickb52, Bishanga, Remmy, princess enny
whats not hapenning?
Kaizer kula daku kelele za chura zskuzuie kunywa maji!!
but TANMO analalamika ye haitw habitt, darln,hani....!! but leo ana furaha kdogo sweetlady kamuita darling!!!