Niko fiti mrembo.....unaniangalia kwa wasiwasi eeeeh?P hajalogwa bwana, aliyelogwa ni asp tena kalogwa vibaya na wa kumlogololowa naye kalogwa.af E leo mbona unaonekana na kama chale chale hivi hapo usoni umepigwa lini hizo chata wng.usipinge hii kitu wt wote wanakushangaa leo, go moja kwa moja kwa ans
Kama ummu kulthum hujaniona vizuri angalia na hii ya mzee b52 original sio huyo unayemuonaNiko fiti mrembo.....unaniangalia kwa wasiwasi eeeeh?
Hebu niangalie hapo chini....
View attachment 60335
Hahahaaa huyu dogo nimemsoma sana aisee hasa akiwa Tilalila loh hakamatiki we tulia lazma atakuja kwako kuomba majaribio ya ukaguzi
Hahahaaaa mi simo ila akitaka ukweli ntasemammmh embu njoo ujibu hizi shutuma,mbona mapenzi kizungumkuti jamani!!
salaam ama baada salam.nauliza hivi,kwani amefanya nini tena zaidi ya kuwa mlevi? wasalaam wako ummu kulthum PLATOZOOM
Mi sitaki maswali..najiandaa kula daku labda aniulize kesho ndio itakuwa poaHehehehhe mie mzima ummu kulthumu platozoom lol.....sikujua kumbe wewe na platozoom mshakuwa mwili mmoja tehe hongereni ila mie nimemuiga Erickb52 hayo mengine muulize yeye lol
Hahahaaa huyu dogo nimemsoma sana aisee hasa akiwa Tilalila loh hakamatiki we tulia lazma atakuja kwako kuomba majaribio ya ukaguzi
Imiss u my shem biz nw days sijui ndo majukumu yamekufanya hivi mana hupatkan saana had nikuwindeMi sitaki maswali..najiandaa kula daku labda aniulize kesho ndio itakuwa poa
Mi sitaki maswali..najiandaa kula daku labda aniulize kesho ndio itakuwa poa
mmmh embu njoo ujibu hizi shutuma,mbona mapenzi kizungumkuti jamani!!
Hivi kumbe ile mimba ya Yummy huyu Bwana Rocky naye alichangia damu?
Hivi kumbe Kipipi na Catherine nao pia ni nyumba ndogo zako?
Amyner anawatambua hawa ma wife mates wake?
Huyu Platozoom uliyemtaja kwani amechatoka rumande baada ya kukutwa na kiroba cha Msuba?
Hivi kwa huyu Badili Tabia tupo wangapi jamani?
Babu Asprin alishinda ile kesi yake ya kumshika makalio mama muuza wa mtaani kwao?