Jei Efu Bana..

Hivi unahabari Bishanga ni mzee kama kwenye avatar yake ?....sasa kazee kama kale wewe kanakutishaje jamani ?
Hahahaaaaa kale kazee noma..kaliiba uchawi wa Asprin then kakamroga Asprin apende Ile kitu namesa mwenzake kuliko kula ndio maana siku hizi babu anaweza kukagua siku nzima bila kula hadi anashindwa kuamka!
Ila platozoom nae naona anakuja kwa kasi sijui nayeye kalogwa
 
Last edited by a moderator:
Nalijua mpenzi...
Hope hapo ulipo wazima wote eeeh?
Miss u hata kama TANMO atachonga poa tu aende kwa Preta akapambane na mtu chake

Wazima kabisa........nasubiri unijuze na za huko kwako haswa za yule kipenzi changu !......mie pia miss you zaidi ya sana bana TANMO samahani mambo mengine hayavumiliki lol......:busu
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahaha lol wewe ujue nusura nivunje mbavu hahahaha ! kumbe na wewe umemstukia platozoom eeh ? Nimecheka sana walah daaah !
 
Last edited by a moderator:
TANMO bwana, baada ya kula mtaji wa gazeti la udaku sasa unakuja na huu utani....
 
Last edited by a moderator:

Hivi kumbe ile mimba ya Yummy huyu Bwana Rocky naye alichangia damu?
Hivi kumbe Kipipi na Catherine nao pia ni nyumba ndogo zako?
Amyner anawatambua hawa ma wife mates wake?
Huyu Platozoom uliyemtaja kwani amechatoka rumande baada ya kukutwa na kiroba cha Msuba?
Hivi kwa huyu Badili Tabia tupo wangapi jamani?
Babu Asprin alishinda ile kesi yake ya kumshika makalio mama muuza wa mtaani kwao?
 
Wewe endelea tu kumchafua mdhamini wa chit chat
TANMO umesema Bishanga mchawi eeh ?

mtu wa kawaida hawezi kuiba mke wa mtu tena kwenye nchi za watu...
Ila sijasema Bishanga ni yuko hivyo, nimewaza tu...

Hahahahaha jamani Preta ana dhambi lol......pole mwaya usijali utapata mwingine !

Yaani Preta we muone vile tu. Ni alinifanya kitu mbaya mpaka sina hamu...

TANMO bwana, baada ya kula mtaji wa gazeti la udaku sasa unakuja na huu utani....

Gazeti la udaku lilitaka kunifanya ni-RIP mkuu. Nilikuwa nawindwa usiku na mchana..
 
Msuba siku hizi hauna dili. Tumehamia kwenye hasheesh! Tatizo lako ndo ulikuwa unautumia kunitongozea, tafuta mbinu nyingine basi!
Kausha Bana,,, mbona unanimaind wakati mwenyewe unona kabisa sijagusia ishu ya Msuba kwa sababu nakufichia soo?
 
Hahahaaaa alidhaminiwa kesi na Bishanga so walihongahadi akashinda kesi aisee
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha lol wewe ujue nusura nivunje mbavu hahahaha ! kumbe na wewe umemstukia platozoom eeh ? Nimecheka sana walah daaah !
Hahahaaa huyu dogo nimemsoma sana aisee hasa akiwa Tilalila loh hakamatiki we tulia lazma atakuja kwako kuomba majaribio ya ukaguzi
 

P hajalogwa bwana, aliyelogwa ni asp tena kalogwa vibaya na wa kumlogololowa naye kalogwa.af E leo mbona unaonekana na kama chale chale hivi hapo usoni umepigwa lini hizo chata wng.usipinge hii kitu wt wote wanakushangaa leo, go moja kwa moja kwa ans
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…