.................Yah na watu kuelewa hawataki,huko tuendako ile mnakaa office moja kila mtu na kazi yake itaisha itafikia kipindi inabidi akae mtu mmoja tu machine zizibe nafasi za watu kumi sasa hapo pana usalama kweli?Elimu ya kujitemegea inahitajika sana hasa kipind hiki cha maendeleo ya technology
I concur...Ajira ni janga la dunia. Ukisoma huku unategemea ajira tayari ushajiandaa kufeli
Hapo unamaanish VETA au VITA ?Wahitimu wa VITA wanawapiga bao
Ova
Kwanza tukubaliane Elimu yetu Tanzania haisaidii mwanataaluma kuweza kukuza fikra yake ili abadilishe mazingira yanayomzunguka, mtu anasoma theoretical based education ambayo kimsingi haitomsaidia popote
VETA wanafundishwa practical zaidi.VETA
Ova
Mzee baba kwemaVETA wanafundishwa practical zaidi.