Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Nilikuwa siamini kumbe jamaa analindwa kuliko unavyofikiria yaani ulinzi anaopewa ni kuliko hata ule wa Obama wa Raisi wa marekani,inadaiwa kisa na sababu kwanza asije akakimbia nchi pili asije akapigwa na wananchi wenye hasira kali na zaidi ambalo ni kubwa kuliko yote isije akakimbilia kwenye vyombo vya habari na kumtangaza mshindi halali wa Uchaguzi wa Zanzibar,nyendo zake zinaratibiwa hapo alipo hana tofauti na ng'ombe aliefungwa kamba ya pua na waliemfunga kamba hio ni wale mnaowasikia wakipiga makele uchaguzi urudiwe.