Jecha analindwa zaidi hata ya Obama

Jecha analindwa zaidi hata ya Obama

Wamlinde tu lakini siku zake zakifika atamfahamu Mungu ni nani
Hebu Jecha ajiulize yule mwanamama Asha Bakari aliyetamba ndani ya BMK mwaka 2014 kule Dodoma kuwa Zanzibar haiwezi kutolewa na vijikaratasi vya kupigia kura yuko wapi hivi sasa?

Tayari ametangulia huko Ahera hivi majuzi.

Kwa hiyo watawala wetu wanaofanya mambo kama vile wataishi milele hapa duniani watapata ujumbe mzuri hapo.

Kwa hiyo Jecha atambue kuwa malipo ya 'uharamia' anaowafanyia wazanzibari ataanza kuyapata hapa hapa duniani na hatimaye yatakamilishwa ahera.
 
Huwezi kudhulumu haki za mamilioni bado ukawa na amani utembee huru mtaani...
 
Kweli ukiyashangaa ya Firauni utayaona ya Jecha.

Eti anasema uchaguzi huo wa marudio hautakuwa na mikutano yoyote ya kampeni!

Yaani hiyo ndiyo demokrasia ya Jecha na wahafidhina wa Sisiem.

Kwa hiyo huo uchaguzi wa marudio una lengo tu la kukamilisha azma yao ya kumuapisha 'Nkurunzinza' wao wa Zenji.
 
JECHA KUMLAUMU NI KUMWONEA. HATA UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA HIVO. NAAMINI SI UTASHI WAKE, BALI ALITUMWA. MJUMBE HAUAWI. MBONA LEO TWAMLENGA MISHALE?
 
Nilikuwa siamini kumbe jamaa analindwa kuliko unavyofikiria yaani ulinzi anaopewa ni kuliko hata ule wa Obama wa Raisi wa marekani,inadaiwa kisa na sababu kwanza asije akakimbia nchi pili asije akapigwa na wananchi wenye hasira kali na zaidi ambalo ni kubwa kuliko yote isije akakimbilia kwenye vyombo vya habari na kumtangaza mshindi halali wa Uchaguzi wa Zanzibar,nyendo zake zinaratibiwa hapo alipo hana tofauti na ng'ombe aliefungwa kamba ya pua na waliemfunga kamba hio ni wale mnaowasikia wakipiga makele uchaguzi urudiwe.
wacha porojo. amtangaze nani rais wakati mwenyewe kafuta uchaguzi baada ya wajumbe zec kuvua mashati na kutala kutwangana ngumi.
 
NANI anamkumbuka rais TITO wa yugoslavia? Alikuwa mahututi kitandani akaagiza waitwe nadaktari bingwa kokote duniani ili waje waokoe maisha yake .na kweli waliletwa .wakamzungumka kila mmoja akawa anajitahidi kadiri ya ujuzi wake .lakini siku ya pili alikufa .wale maprofesa wa udaktari hawakuweza kuzuia kifo chake
 
Title imekaa kiOngoOngo imenidescourage hata kusoma maelezo yako😎😎😎
 
JECHA KUMLAUMU NI KUMWONEA. HATA UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA HIVO. NAAMINI SI UTASHI WAKE, BALI ALITUMWA. MJUMBE HAUAWI. MBONA LEO TWAMLENGA MISHALE?
Wanasema Tume ni huru na haingiliwi katika kutekeleza majukumu yake.
Kama amekubali kutumika kama mpira wa ngono asubiri malipo yake. CCM wanalipa donge nono kwa kazi aliyoifanya.
 
Nilikuwa siamini kumbe jamaa analindwa kuliko unavyofikiria yaani ulinzi anaopewa ni kuliko hata ule wa Obama wa Raisi wa marekani,inadaiwa kisa na sababu kwanza asije akakimbia nchi pili asije akapigwa na wananchi wenye hasira kali na zaidi ambalo ni kubwa kuliko yote isije akakimbilia kwenye vyombo vya habari na kumtangaza mshindi halali wa Uchaguzi wa Zanzibar,nyendo zake zinaratibiwa hapo alipo hana tofauti na ng'ombe aliefungwa kamba ya pua na waliemfunga kamba hio ni wale mnaowasikia wakipiga makele uchaguzi urudiwe.

Mbona anaongea kwa hiari yake?
 
Mbona anaongea kwa hiari yake?
Huyu muzee anaongea kama amelazimishwa, anatetemeka.
CCM wanajua usanii, angalia hiyo background screen waliyomwekea.
Yahhh, anaongea kwa hiari yake.

Katika maisha yangu yote sijawai ata kuchinja kuku wala mfugo wwte unaoliwa, lkn leo hii nikiwekewa uyo jecha mbele yangu alafu niambiwe nimchinje' haki ya mungu nitamchinja bila huruma tena uku namuangalia usoni
 
Back
Top Bottom