FIFA kuchunguza kitendo cha mpishi Salt Bae kushika Kombe la Dunia

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limefikia maamuzi hayo baada ya mpishi huyo maarufu wa nyama kuingia uwanjani baada ya mchezo wa fainali kujumuika na wachezaji wa Argentina kushangilia ushindi na kulishika kombe kwenye Uwanja wa Lusail, Desemba 18, 2022.

Sheria za FIFA zinatamka kuwa kombe hilo linaweza kushikwa na wachezaji wa timu iliyoshinda, maafisa wa shirikisho na viongozi wa nchi.

Salt Bae (39) ambaye jina lake halisi ni Nusret Gokce alionekana akimvuta Lionel Messi wa Argentina na kupiga naye picha huku mchezaji huyo akionesha kutokuwa tayari.


============== ==============

FIFA Probe Celebrity Chef Salt Bae's 'Undue Access' At World Cup Final

FIFA are investigating how celebrity chef Salt Bae gained "undue access" to the pitch after the World Cup final where he enthusiastically posed for photos with surprised Argentina players including a bemused and irritated Lionel Messi.

Salt Bae, whose real name is Nusret Gokce, was pictured holding and kissing the trophy after Argentina beat France in Sunday's final in Qatar.

The Turkish entrepreneur was widely criticised for twice grabbing the arm of Messi, who tried to sidestep the unwanted attention.

He was also photographed with Angel di Maria, Lisandro Martinez and even seen sinking his teeth into another player's medal.

FIFA rules state the World Cup trophy can only be held by the tournament winners and the likes of FIFA officials and heads of state.

"Following a review, FIFA has been establishing how individuals gained undue access to the pitch after the closing ceremony at Lusail stadium on December 18," a spokesman told the BBC.

"The appropriate internal action will be taken."

Salt Bae, 39, owns a chain of luxury restaurants around the world including Beverly Hills in Los Angeles and London's swish Knightsbridge.

His technique for preparing and seasoning meat has become an internet meme.

Earlier in the World Cup, he posted a video of himself at a match sitting alongside FIFA president Gianni Infantino.

Source: DailyMail
 
2014 rihana alilishika. FIFA walichukua hatua gani?
 

Attachments

  • article-2691117-1FA1100900000578-859_634x631.jpg
    article-2691117-1FA1100900000578-859_634x631.jpg
    44.2 KB · Views: 9
Ukishika kinaongeza nini au sababu jamaa anashika sana chunvi !.
labda kina majini hayapatani na chunvi
 
Alimpora mtu na kulazimisha kupiga naye picha??

Rihana hakuwa na kibali lakini alishika mwaka 2014. Na fifa hawakufanya chochote

Salt bae hajavamia uwanjani kienyeji tu.

Fifa wenyewe wamempa salt bae kibali kikubwa na alikivaa wakati anaingia uwanjani.. salt bae alikuwa na FIFA VIP BADGE ambayo ilimpa access ya kuingia kwenye pitch bila walinzi kumsumbua.
 
Rihana hakuwa na kibali lakini alishika mwaka 2014. Na fifa hawakufanya chochote

Salt bae hajavamia uwanjani kienyeji tu.

Fifa wenyewe wamempa salt bae kibali kikubwa na alikivaa wakati anaingia uwanjani.. salt bae alikuwa na FIFA VIP BADGE ambayo ilimpa access ya kuingia kwenye pitch bila walinzi kumsumbua.
Ni kama kuna namna...
 
FIFA Probe Celebrity Chef Salt Bae's 'Undue Access' At World Cup Final

FIFA rules state the World Cup trophy can only be held by the tournament winners and the likes of FIFA officials and heads of state.

Source: DailyMail
Huyu jee nae ni mchezaji? Ama tatizo ni kuwa limeshikwa na mchoma nyama?
 

Attachments

  • lionel-messi-family-world-cup-win.jpg
    lionel-messi-family-world-cup-win.jpg
    44.6 KB · Views: 8
Back
Top Bottom