Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

mkuu dawa ya ulcers ni ipi
 
Na kuna yule mama Tery naye sijui kaishia wapi.
 
Yule alikuwa anatishia watu wasile kila chakula nilikutana naye nikashangaa ana binge la kitambi!...muongo mkubwa!
Tatizo alikua hajui kitambi kinatokana na nini, yeye alidhani vyakula vya mafuta ndio chanzo cha kitambi, ugali wa dona ambao ni wanga na vyakula vingine vya wanga ndio chanzo kikuu cha vitambi vikisaidiwa na pacha wake sukari
 
Hivi ile kwaya iliyokuwa ikichezwa background RFA wakati wa kipindi chake, unaitwaje ule wimbo? naupenda mnooo. Nilikuwaga nafurahia pale tu unapoanza kusikika. Nilishautafuta ule wimbo bila mafanikio, nadhani ni wimbo wa AIC kwaya.

-Kaveli-
ni sda nyimbo za wasabato,NATEMBEA NIKIWA MAREHEMU

Ni kwaya ya muungano sda
 
Nahisi atakuwa pale Magomen SDA
 
Yes,yupo sahihi kwenye hili!
Unatakiwa ukae nusu saa baada ya kula
Sema nini,tushazoea vibaya
Mi naikumbuka slogan yake moja ya kupinga kula huku unakunywa maji at the same time
 
Yes alikuwa vzr,labda shida ni gharama tu!

Btw,mkuu ni ipi hiyo nisaidie meno yangu yapone
Amenisaidia mpka Leo hii ni najua dawa za jino na ninasaidia sana watu kijjn kwangu kwa tatizo lolote LA jino.endeleeni kuponda watu wanapona
 
Hii kitu bado kidogo imuondoe roommate (msabato kwa sana) wangu kipindi nakaa mabibo hostel...alikuwa na malaria akawa anajitibu kwa dozi ya machungwa ishirini kwa siku...kuna siku akazimia...alipigwa dripu za kutosha
Tiba ya malaria kwa kunywa limao siku 16.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…