Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

Nilikuwa mfuatiliaji sana wa vipindi vyake kupitia EATV na kupitia mafunzo na maelekezo yake Nilipona magonjwa yalokuwa yakinisumbua kwa mda mrefu sana, Big up Dr Ndodi be blessed sana na uzidi kusaidia wengine
Mimi pia alinisaidia sana kupona kipandauso kilichonisumbua miaka nenda rudi lakini siku moja aliponitajia mchanganyiko wa sawa nilipona siku hiyo hiyo niliyotumia sijui daftari langu la notes za mafundisho ya ndodi nani hata aliniibiaga maana nilikuwa naelekea kuwa mganga
 
Dawa ya kisukari alikuwa anaponda majani ya miembe ng'ong'o
 
Jamaa nilikuwa namfatilia sana RFA na EATV kwa vipindi vyake ila nimejifunza mambo mengi yenye manufaa kupitia kwake:-

1.kunywa maji nusu saa baada a kula
2.Vitunguu saumu dawa.
3.Dawa ya wasiopata choo - Juisi ya ukwaju
4.Dawa ya malaria na ulcers - Juice ya limao
5........
 
Kaajiriwa na klabu ya Fulham ya Uingereza kama Daktari mkuu. Pitia website ya Fulham.
 
Reactions: Pep
Hiii ya kitambi nilicheka sana jamaa kitambi kilimnyemelea Kwa Kasi na alikuwa anaponda balaa wanaume wenye vitambi mpaka wanawake walikuwa wanaona.mwanaume anayejua kushughulika kitandani ni Ndodi pekee yake
 
Juice ya Limao ndo Dawa ya ulcers?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…