Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

Sasa hivi wale watu wanaosali j1 wanaliza sana wagonjwa wa magonjwa sugu, wanasoma sign and symtoms za magojwa kwenye vitabu, halafu wanakwenda kwenye viredio vya kimkoa na kutangaza kuwa wanatibu magonjwa hayo kwa kusoma hizo signs and symtopms sasa wewe ukisikia ametaja dalili ulizonazo unaamini kweli ni dactari kumbe ni matapeli wakubwa, wanajiita sanitarium, wamelisha sana watu matango na juice za matunda wanawadanganya ni dawa. Wanamfuata mwasisi wao ndodi ambaye alikuwa anasema ukipata kitambi ni dhambi lakini baada ya fedha za bure kumnyookea kitambi kilipitiliza kipimo.
 
Huu uzi ungenoga sana kama mtu angetupia picha yake ya sasa. Yaani before and after kama wale watu wa forever living wanavyo advertise dawa zao
Hahahahaha.. nimecheka kwa nguvu
 
Huyu alikuwa anasema dawa za nywele ni sumu watu wawe na natural hair
 
Hii ni sawa na mtaalam wa fedha ambaye anaelezea mikakati na namna ya kupata hela. Afu anakuja kuomba hela ya kuweza kupablish hicho kitabu
 
Yupo kama kawa hapa jijini, shavu dodo
 
Dr nilikua namkubali sana nadhan vyuma ndio tatizo
 
Bila shaka una kitambi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…