Mkuu Device ya mwisho kuchukua Zantel ni 4g modem za D-Link DWM-222 ambazo zinachakachulika kwa kuupgrade firmware.Kuna jamaa ni mtaalam wa Zantel ngoja aje kutuambia Kama hizo router zinachakachulika Shaffin Simbamwene , Kama zinachakachulika nakushauri tafuta hio ya Zantel, utapata kitu kipya na Cha uhakika Tofauti na AliExpress kwa brand usiyo ijua.
Mkuu salute ningependa unipe ushauri ni kipi bora nitumie kati ya hizi router au hdmi wireless transmitter kwa matumizi ya audio na video nyumbani.Ila ushauri wangu ni huo usinunue bila kujua Kama zinachakachulika, maana Kuna nyengine ukinunua utafunga ndoa na mtandao mmoja.
Inategemea na vifaa vyako mkuu, Kama Home theatre, TV, na vifaa vyengine vina wifi, Router ni njia rahisi na ipo proved inatumika miaka mingi.Mkuu salute ningependa unipe ushauri ni kipi bora nitumie kati ya hizi router au hdmi wireless transmitter kwa matumizi ya audio na video nyumbani.
Shukrani kiongoziInategemea na vifaa vyako mkuu, Kama Home theatre, TV, na vifaa vyengine vina wifi, Router ni njia rahisi na ipo proved inatumika miaka mingi.
inalipiwa bure salama tu ila si ya kulazimisha pia.nlikuwa naombe kuuliza je wifi zina lipiwa ama ni bure ukisha nunua maana nina ofisi yangu ina shida ya internet ya bure kwa ajili ya kazi.