CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,503
- 25,466
Aisee!!Halima Dendegu, aaaaah mama yuko vizuri sana huyu mwenye namba yake tafadhari!!
Aisee!!Halima Dendegu, aaaaah mama yuko vizuri sana huyu mwenye namba yake tafadhari!!
Una kila dalili za yule mama chiku pale Nssf maana hata simu za mezani hapokei akiona inatoka kwa asiye naye kiimani... Why..... Lakini hamkutakiwa mfanye Kazi na wanaume mnatakiwa mkae jikoni m buni mapishi matamu matamu kwa ajili ya waume zenu na familiaWanaume wengi wa Kiislam huwa hawatowi mikono mwanzo kumpa mwanamke asiye maharim (nilioharamishiwa kuoana nao) wake kuhofia kuwa wanawake wengi wa Kiislam huwa wanatunza udhu wao.
Binafsi sipeani mkono na wanaume zaidi ya maharim (nilioharamishiwa kuoana nao) zangu.
Una kila dalili za yule mama chiku pale Nssf maana hata simu za mezani hapokei akiona inatoka kwa asiye naye kiimani... Why..... Lakini hamkutakiwa mfanye Kazi na wanaume mnatakiwa mkae jikoni m buni mapishi matamu matamu kwa ajili ya waume zenu na familia
Nimewai kuwanya kazi na wanawake wa aina hii. Wanadharau sana. Wakiwa wanashida wanyenyekevu kweli ila kama hawana watakusalimia vizuri hata kwa mikono ingawa ni towauti nao kwa imani.Una kila dalili za yule mama chiku pale Nssf maana hata simu za mezani hapokei akiona inatoka kwa asiye naye kiimani... Why..... Lakini hamkutakiwa mfanye Kazi na wanaume mnatakiwa mkae jikoni m buni mapishi matamu matamu kwa ajili ya waume zenu na familia
sana.Hii nasikia kwenu kwa mara ya kwanza eti kushika simu ukasalimiana na mtu ni kukosa heshima.
Upo sawa lakini inategemeana mmekutana wapi. Apo kwanza yanaonekana ni mazingira ya barabarani. Wamekutana tu njiani bila appointment.sana.
unatakiwa umpe mtu mkono mwingine unashika mkono mmoja , huo ndio unyenyekevu!
unasalimia mtu huku unakimbia? unasalimu mtu huku unaongea na simu
unasalimu mtu huku unafanya kitu kingine ilihali unauwezo wa kukiacha ukasalimia unakosa adabu
.....
salamu ni heshima!!! salamu inamaanisha heshima
lazimq iheshimiwe kwa watu unaowaheshimu.
ila sio wote wanalijua hilo... inategemea na ulivofunzwa kwenu. kama kwenu mzazi wako hakua na adabu utajuaje...
Hata sikuelewi kenge mdini mkubwa wewe.Wanaume wengi wa Kiislam huwa hawatowi mikono mwanzo kumpa mwanamke asiye maharim (nilioharamishiwa kuoana nao) wake kuhofia kuwa wanawake wengi wa Kiislam huwa wanatunza udhu wao.
Binafsi sipeani mkono na wanaume zaidi ya maharim (nilioharamishiwa kuoana nao) zangu.
Kitendo cha mkuu wa mkoa aka Mwakilishi wa Rais kwenda Airport kumpokea mfanyabiashara binafsi tayari kimeonyesha udhaifu mkubwa. Huyo Dangote anatakiwa apokewe na management yake kisha aende kuonana na mkuu wa mkoa ofisini kwake.Mkuu wa mkoa anaonekana ni mtu anayejiamini na kuthamini cheo chake,body language yake inaonyesha dhahiri kabisa kua hakutetereka wala kuubabaikia utajiri wa Dangote bali amethamini cheo chake as mkuu wa mkoa,safi sana mkuu wa mkoa.
Hata sikuelewi kenge mdini mkubwa wewe.
Ha ha ha, FF hivi wewe unayechamba kwa maji tukinusa huo ....du tutakuta unanukia waridi? Acha hizo, wewe umejuaje watu hawatumii maji kama desturi yao?Anajuwa hamchambi kwa maji ndiyo maana.
Kama hukuelewa si ungeuliza ili ueleweshwe? lakini umeamua kutukana mtu coz hiyo ndio tabia yako tu,Hata sikuelewi kenge mdini mkubwa wewe.