Je, wewe unaweza toa tafsiri gani kutokana na hii picha?

Alhaj yuko busy na simu, dini yake pia inamluhusu kutoshake hand hovyox2! Any way ni kama wanagaana baada ya mzunguko mkoani Ntwala
 
Nnabaki na udhu wangu.

Isitoshe, ni karaha kupeana mikono hususan na watu unaojuwa wazi kuwa wakienda chooni hawachambi kwa maji.

Wengine wanajichokonoa pua, wengine wanajikuna hovyo mpaka matakoni, wengine wengi hygiene ni nil.

Besides, mwanamke na mwanamme asiye maharim wako mnapeana mikono yanini? Upuuzi tu.



"Biashara" ya kuchamba cjui kujichokonoa, hufanywa na mkono gani, pia salaam ya heshima hutolewa kwa mkono gani?
Mtu asiye maharimu wako mkishikana mkono kusalimiana atakutekenya?
 
Halima Dendegu, aaaaah mama yuko vizuri sana huyu mwenye namba yake tafadhari!!
Utafungwa ndg yangu. Hata kama amekuumiza na figure lake, ishi kwa matumaini kufuatilia kwa nyuma kama fisi, kwamba siku moja atalidondosha nilile. Msubiri astaafu utupie ndoano.
Ukienda kichwakichwa, "ndani".
 
"Biashara" ya kuchamba cjui kujichokonoa, hufanywa na mkono gani, pia salaam ya heshima hutolewa kwa mkono gani?
Mtu asiye maharimu wako mkishikana mkono kusalimiana atakutekenya?

Hao wasiojuwa kutumia maji wana cha "mkono gani"? Thubutu.
 
Ha ha ha, FF hivi wewe unayechamba kwa maji tukinusa huo ....du tutakuta unanukia waridi? Acha hizo, wewe umejuaje watu hawatumii maji kama desturi yao?
Hivi kile kitabu chetu kinasemaje ukipatwa na haja jangwani na hakuna maji unatumia nini?


Mbona simple sana, una tayamam.

Siyo waridi, udi wa mawardi. Cheza na mambo ya wenye kujijuwa? Ushajitia Oud wako wa mawardi, unanukia umejitoharisha na udhu wako linakuja jitu limeshajikonoa pua huko, halikuhusu ndee wala sikio halafu linakupa mkono? Khaa! Inahusu nini?

Mkono wangu ni kwa maharim zangu tu, na hiyo ni kwa mwanamke yeyote anaefata mafundisho ya Kiislam.
 
Kitendo cha mkuu wa mkoa aka Mwakilishi wa Rais kwenda Airport kumpokea mfanyabiashara binafsi tayari kimeonyesha udhaifu mkubwa. Huyo Dangote anatakiwa apokewe na management yake kisha aende kuonana na mkuu wa mkoa ofisini kwake.
Hapo inaonyesha RC kaenda kumpokea huyo bwana kwa shinikizo toka juu tuu lakini siyo itifaki
Mkuu mleta mada ametutaka tutafsiri hiyo picha kutokana na mtazamo wa kila mmoja wetu na ndio nilichokifanya mimi binafsi,

Hayo mambo sijui eti huyo kiongozi alienda kumpokea Dangote Airport hayapo hapa na hilo sio lengo la mleta mada,

Mleta mada katuma picha wala hakuna maelezo yeyote eti Dangote kapokewa Airport na huyo kiongozi.
 
Hatuyashiki Mavi sie hivi na wewe nipe siri pale unapochamba na unaposhika kinyesi unajisiaje? Utelezi au? Maana sie huanza na soft pepar and then maji

Kama unavyojisikia wewe unapotumia maji (kama unatumia kweli hayo maji).
 
nimegundua zao la pamba ni muhimu saana....wote hao wamevaa nguo zitokanazo na zao la pamba
 
Back
Top Bottom