Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
Kiukweli binafsi ni mtu mgumu sana kwenye kufanya mambo ambayo kwa kawaida naweza kuyaona kama yanapingana na malezi yangu au yanahitaji ukengeufu fulani wa vitu ambavyo sijawahi kuona viko sawa.
Jamii yetu iko tofauti sana, kuna watu as long as una pesa au madaraka basi zinahalisha jambo lolote utakalofanya hata kama jambo hilo akilifanya mtu mwingine asiye na lolote itaonekana ni dhambi kubwa.
Mara nyingi nakuwa kwenye dilemma za namna hii.
Je, wewe ni nini mtazamo wako.
Ni nini mipaka yako.
Je, unaweza kufanya chochote ilimradi utapata pesa?