Je wewe una akili nyingi?

Je wewe una akili nyingi?

Akili nyingi ni kufanya kitu amabacho wengine wote wameshindwa kufanya, ila wewe ukaweza kufanya na kikaonekana. Iwe ni kwenye teknolojia, biashara, maamuzi magumu n.k Je, wewe una akili nyingi?​
ee nina akili nyingi
 
Kwa vigezo vyako wenye akili nyingi wote washakufa maana hakuna jipya kwa Sasa hapa duniani zaidi ya kaboresho. Waliobaki hai ni Elon musk na mark Zuckerberg tuu.
 
Nakubaliana na wewe kwa 30% ila bado kuna mwanya wa kufanya kitu cha tofuti kwa kutumia hiyo akili yako.
 
Nina id ya vitu ving vya kubuni na wala dunian bado havipo ila umaskn ndio umenifanya nisionekane nb binifu zozote hazitoki mbingun ni kitendo cha kuangalia changamoto na kuumiza kichwa upate nyezo ya kutatua tatizo kwa kuiangalia hy hy changamoto
 
Wazo lako umeshashirikisha wadau wangapi?
 
Hapa mtaani huwa natoka na wamama ambao hakuna kijana kashawahi kufanya hiko kitendo..

Kuna mda niliwahi toka na maza mmoja alikua ni mwanasheria ila ni single mom ambaye mtaani wanamuogopa sana maana ana mtoto trafik ambaye mtata sana ila nilifanya hvo ...

Why still call me poor brain 😭😭😭😭😭😭😭
 
Unafaa kabisa upelekwe Urusi ukasaidie kupambana na Ukraine
 
Akili nyingi ni kufanya kitu amabacho wengine wote wameshindwa kufanya, ila wewe ukaweza kufanya na kikaonekana. Iwe ni kwenye teknolojia, biashara, maamuzi magumu n.k Je, wewe una akili nyingi?​
Mkuu, it is not necessarily iwe akili hasa kwenye biashara. Wakati mwingine ni eg ujasiri tu. Na ujasiri siyo akili. Au ......hata bahati.
 
Mkuu, bahati inawezekanaje kwenye kufanya kitu ambacho wengine wote wameshindwa kufanya?​
 
1. Nikupe mfano. Kuna watu wengi tu wali-mine bitcoin siku za mwanzoni mwanzoni bila kujua kitakachotokea na baadae wakatajirika.
2. Richard Branson alipokuwa kijana alitaka kuanzisha jarida la wanafunzi. Akaanzisha jarida lililoitwa Student ili wanafunzi waweze kuandika masuala yao. Ili kupata fedha za kulichapisha alianza kuuza rekodi za muziki kwa bei nafuu kwa kutumia posta. Lakini (KWA BAHATI)wakati huo kulitokea mgomo wa posta nchini Uingereza na wateja wakaanza kuja moja kwa moja ofisini kwake kuchukua rekodi walizoagiza. Tukio hilo la bahati lilimfanya atambue kwamba anaweza kufungua duka la muziki, na hapo ndipo alipoanzisha biashara iliyokuja kukua baadaye kuwa kampuni kubwa ya Virgin Group
 
Back
Top Bottom