Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,576
- 60,967
- Thread starter
- #21
Hiyo hiyo unayoielewa weweDefinition yako ya ustaarabu inasemaje?
Hiyo hiyo unayoielewa weweDefinition yako ya ustaarabu inasemaje?
kama ningeenda kumpa hela mzee ungejuaje kama nimempaNi nani aliyekuaminisha, kusalimia salimia watu ndio ustaarabu? Je ulishawahi kuwasaidia wazee wa kijiji chako?
Basi mimi ni mstaarabuHiyo hiyo unayoielewa wewe
Mkuu, hebu fafanua japo kidogo mtu mstaarabu anatakiwa aweje. Tuanzie hapo kwanza.Dunia yote inaamini, wana JF wote ni wastaarabu.
Je, wewe ni mstaarabu? Kama ni ndio, tuonyeshe huo ustaarabu wako.
Ili uaminike kuwa wewe ni mstaarabu, uza vitu vyako vyote uwagawie masikini.kama ningeenda kumpa hela mzee ungejuaje kama nimempa
Kwa vigezo vipi?Basi mimi ni mstaarabu
Kwa nini, wakati wana jf wote wanajulikana ni wastaarabu?Sina na sijawahi kuwa mstaarabu.
Vizuri sana, ebu tuwekee maana yake, tuanze kuijadili?Mkuu, hebu fafanua japo kidogo mtu mstaarabu anatakiwa aweje. Tuanzie hapo kwanza.
Safi sana, ebu tupatie maana unazozijuaNeno " ustaarabu" ni Pana sana ungeanza kwa kutufafanulia maana yake na mifano kadhaa.
Na ukumbuke ustaarabu unavary from one person to another.
Yaani kile unachodhani ni ustaarabu kwako na kisiwe ustaarabu kwa mwingine and vice versa.
kama ustarabu ndo huo hapo bora nionekane sio mstarabuIli uaminike kuwa wewe ni mstaarabu, uza vitu vyako vyote uwagawie masikini.
Mie sio mstaarabu, najijua.Kwa nini, wakati wana jf wote wanajulikana ni wastaarabu?
Hahahaaa. Mkuu mbona umenigeuzia kibao tena? OK. ngoja nianze hivi: Nijuavyo mm ; mtu mstaarabu ni yule mtu asiye na makuu i.e. hana majivuno, hashughuliki na mambo ya wengine, hana dharau kwa wenzake, haropoki hovyo; ni mtu mstahimilivu na anawaheshimu watu wote, na si mwepesi wa hasira-anatumia Hekima na Busara kufanya maamuzi yake. Wewe unasemaje?Vizuri sana, ebu tuwekee maana yake, tuanze kuijadili?
Hahahaaa. Mkuu mbona umenigeuzia kibao tena? OK. ngoja nianze hivi: Nijuavyo mm ; mtu mstaarabu ni yule mtu asiye na makuu i.e. hana majivuno, hashughuliki na mambo ya wengine, hana dharau kwa wenzake, haropoki hovyo; ni mtu mstahimilivu na anawaheshimu watu wote, na si mwepesi wa hasira-anatumia Hekima na Busara kufanya maamuzi yake. Wewe unasemaje?
Ebu jipigie makofi, umepatia kabisa; ungelikulia katika mazingira mazuri ungekuwa bingwa wa kuvumbua vitu.
Kutokana na hiyo maana, wewe ni mstaarabu?
Pamoja na pongezi hizo lakini bado nina mapungufu. Sijakamilika 100% katika ustaarabu wangu. Hebu sema kuhusu wewe mwenyewe- umestaarabika?Ebu jipigie makofi, umepatia kabisa; ungelikulia katika mazingira mazuri ungekuwa bingwa wa kuvumbua vitu.
Kutokana na hiyo maana, wewe ni mstaarabu?
Mkuu Equation x ustaarabu ni sifa njema.. Na tabia ya sifa ni kusifiwa sio kujisifuDunia yote inaamini, wana JF wote ni wastaarabu.
Je, wewe ni mstaarabu? Kama ni ndio, tuonyeshe huo ustaarabu wako.
We ni mstaarabu?Noma sana