Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 452
Ewe mwananmke, umekutwa na mwanaume mwingine ndani ya kitanda cha mumewe, ukasamehewa, umekutwa ukifua nguo za ndani za mwanaume mwingine ilihali umeolewa, ukasamehewa, umekuwa ukilala siku kadhaa nje ingawa una ndoa yako, ukasamehewa, umekamatwa na maujumbe ya mapenzi toka kwa bwana mwingine, ukasamehewa, umetubu ulikuwa unajiuza kabla ya kuolewa hivyo wakati mwingine huwa unajikumbushia maana ulifanya hivyo kwa minajili yako sio kwa ajili ya hela, ukasamehewa maana umethibitisha kuacha, umedanganya umeacha kujiuza hivyo umepata kazi nyingine mchana kumbe ni shifti ya mchana kazi ile ile ya kujiuza, JE SWALI ni kama mia mara saba ukisamehe na bado huyu mwanamke anaendelea tu kugawa zaidi ya PIPI na kuja kulia na kuomba msamaha kila siku na kusamehewa, je HUYU ni shetani alievaa NGOZI ya MALAIKA lakini ndani ni SHETANI asiefaa?, Je kweli kama sala za mmewe aombae kila mara ili hili pepo limwonde litaondoka? Jamani ni KILIO CHA RAFIKI YANGU, yaweza onekana ni NI HADITHI LAKINI NI UKWELI na mimi nimeushudia...Je mshikaji asaidiweje jamani?