Je Wewe Mwanamke Usamehewe mara ngapi?

Napouliza nilimaanisha kweli na maushauri yenu kama kawa yanafanyiwa kazi na practical juu...Katiba mpya hapa sio ile ya 50years back...hii dynamic KATIBA changes depends on what they advice...

mmmmmmhhh sasa wewe Mugulumagu wangu........ sijui nikufanyaje au nikwambie nini....
sasa we ukichukua ukchukua ushauri wote hapa si balaa tu ndugu yangu...
hapa tu ndo mahali unaruhusiwa kchakachua uchaguzi na kuchukua matokea tu yanao kufa weye...
mmmmmmmhhhhhh kwa kweli sasa rafiki yako alijua ulipata kitu ndani ya boxi yake kutoka kwa mke wake???
 
Afrodenzi we acha tu mtu wangu, kweli ukichovya asali lazima urudi, tayari uchu wa madaraka naona unaninyemelea, natamani niende tena maana mmmmhhhhhh hata mie nilichakachuliwa na huyu aka muuza yake, naimagine the twist ile kunako dakika za kukukuruka, ahela ilionekana sekunde chache....
 
mmmmhhhhh kwa kweli kuna hatari..
haya bwana mi yangu macho..
ngoja siku ifike aanze kutabasamu na kuku gusa gusa sehemu takatifu mbele ya mmeo (rafiki yako)
halafu aseme twende tukamalizie ile twist game ambayo hatukuweza kumalizia siku ile
kwa sababu kuna mtu aligonga mlango.....
 
Safari ni safari afrodenzi..........wa Ntwara walisema kumnyima NTU dhambi mungu kakupa ili utoe kwa wengine bila CHOYO....
 
hahahahahaha lol
kwakweli umenichekesha ..
laini labda huo usemi hautumiki kwa kila kitu Magulumangu wagu ....
 
Acha mtu wangu ile kitu MUNGU alikaa akaifanya the special...kama zingekuwa zinalimwa walahi kila mwananume angeshika jembe, tungepalilia hadi basi, MUNGU muungwana aliitengeneza utamu wote aliuelekeza huko ndo maana adam na eva walikuwa kila wakati wanamegana tu kuona hivyo akasambaza utamu kwenye Machungwa, maembe,mananasi, miwa ili tupate utamu mbadala....acha weye....
 
hahahahhahah lol kwa kweli
weekend yangu inaenda vizuri sana hapa kwenye JF
mmmmhhh we huachi kunichekesha leo lol
kuna thread nyingine nimeona jamaa anasema demu wake anabwebwe sana
wakati wanapanda mlima...
labda tumlete kipandee hii we umsaidie....lol
 
Amsimamie kama anaendesha baiskeli huyo si unajua ukianza panda mlima na baiskeli? Unaisimamia kabisa....
 
hahahahha lol sasa hapo
si majirani wataita ambulance, fire fighters na police ....

Hahaha Fire fighter watazima nini moto wa mapenzi? Police watajiunga kwenye ligwaride maana nao kwa kugonoa wanapenda acha kabisa.
 
hahahahah lol
kwa kweli nway nime enjoy ku chart na we sas ..
im gona say thak u and bye...
mmmhhh ngoja nikajitayarishe ..
niende huko mitaa ya kujirusha ...
enjoy ur weekend .. and take it easy ile kitu haiishi lol hahahaha :party:
 
haina noma mttu wangu ngoja na mimi niingie kwenye uchakachuaji, na mechi weekendi hii na jimama YA KALE DHAHABU etiiiiiiiiiiiiiiiii....weekend njema...
 
Back
Top Bottom