Mwanamke anayejiuliza mara mbili kuolewa na wewe usijiulize mara mbili kumpiga chini

Dr criminal

JF-Expert Member
May 16, 2022
2,278
4,272
Back then nipo kwa bro alikuwa na huyo manzi yake beautiful, educated, ana kazi yake (kazi kapuni) and of course alikuwa na characters za wife material.

Akija pale kwa bro atapika, amfulie nguo, asafishe nyumba na walivyo kuwa wana interact in general you can tell "Now this two are husband and wife"

Binafsi alikuwa anani treat vizuri as shemeji japo nilkuwa kadogo kadogo alikuwa ananiheshimu "alikuwa ananiita mume mdogo"

Upande wa code alikuwa hajivungi atatupia zake suruali ya jeans most of the times na shati ya aina yeyote ile juu luckily bro ndo vilikuwa vitu anapendelea so ikawa unyama

At that point bro alikuwa ashachoka maisha ya ubachela kitu pekee alikuwa anawaza ni amuweke ndani mtoto wa watu so akampanga binti wa wenyewe

Mara ya kwanza jibu lake lilikuwa "mapema sana ngoja" bro akamuuliza shida nini au unafeli wapi maelezo yake yakawa "bado bado kidogo tujuane vizuri zaidi" cha kuweka kichwani ni kwamba haya mahusiano yana zaidi ya mwaka

After three months bro akamkumbushia "Mama twenzetu ukweni taratibu zingine zifate" manzi ikazingua tena kwa kigezo chake kile kile kwamba wasubiri bado mapema, mwamba alijaa sumu sema akavunga tu akasikilizia

Three month later bro anakumbushia tena uku kichwani akiwaza "it's now or never" bahati mbaya sana this time tena shemeji akachomoa "Tutaonaona tu wasiwasi wako nini ngoja mambo yangu yakae sawa tutaenda kwenu"

Jibu la mwamba lilikuwa "Ok, kwahiyo hapa tatizo we mambo yako bado alafu mimi yangu tayari, basi ngoja mi nimtafute aliyetayari na ukimaliza mambo yako pia utampata atayekuwa tayari kwa mda huo"

Hayo ndo maneno ya mwisho ya direct bro anamuambia yule manzi maana baada ya hapo ilikuwa ni mfulilizo wa message na calls ambazo bro hakujibu

Kuna siku alinitumia text "we criminal atakuja hapo yule manzi mwambie funguo ya chumbani kwangu nimeondoka nayo" kweli alikuja pale na akanikuta akaenda kuangalia funguo inapokuaga hakuikuta maana nilielekezwa niitoe akaja kuniuliza mimi ikabidi nimdanganye tu nadhani na yeye alijua kuwa nilimdanganya akaondoka zake na sikuwahi kumuona tena mpaka leo

Baada ya bro kurudi ikabidi nimuulize akanipa mkanda mzima, mi nikamuuliza mbona anaonekana kujuta hajaomba msamaha kwani

Akanijibu "Ameomba msamaha na amesema yupo tayari saizi twende hata leo, sasa swali ni je kama yupo tayari twende hata leo kwanini alikuwa anazingua siku hizo zote, hapa wenda kuna jamaa mwingine alikuwa ana msikilizia au anaona ndoa inaenda kumbana na yeye bado anataka kuponda ujana"

Anaendelea "dogo kama mwanamke anajiuliza mara mbili mbili kuolewa na wewe usijiulize mara mbili mbili kumpiga chini kwa sababu mwanamke anayekuthamini kweli atataka uwe mali yake halali as soon as possible"

Bro now is in a happy marriage with different beautiful, educated, humble woman

Asa leo nilikuwa napiga story na jamaa ndo akawa ananiambia manzi yake anazingua kwenda kumtambulisha kwao ndio nikakumbuka how kings handle it

Till then.....
 
Story ni nzur Sana brother

But

Umeandika ki

First year sana
 
Okay kwahiyo na mwanamke akimuambia mwanaume wake kwamba anataka kuolewa naye as soon as possible, halafu mwanaume akakataa na kusema hayuko tayari kwa muda huo maana yake huyo mwanaume hampendi, hivyo huyo mwanamke anatakiwa kumuacha tu siyo
 
Uzi unajieleza vizuri. Jaribu kuusoma vizuri utaelewa.
Jamaa nimempata sana, yupo sawa 100%
 
Okay kwahiyo na mwanamke akimuambia mwanaume wake kwamba anataka kuolewa naye as soon as possible, halafu mwanaume akakataa na kusema hayuko tayari kwa muda huo maana yake huyo mwanaume hampendi, hivyo huyo mwanamke anatakiwa kumuacha tu siyo
Awe na sababu za msingi

Kwa mfano hajapata kaz permanent, anamalizia ujenzi, anamalizia elimu

Unless otherwise ni nini hicho cha maana zaidi ya kutaka kumchezea mtoto wa watu?
 
Back then nipo kwa bro alikuwa na huyo manzi yake beautiful, educated, ana kazi yake (kazi kapuni) and of course alikuwa na characters za wife material.

Akija pale kwa bro atapika, amfulie nguo, asafishe nyumba na walivyo kuwa wana interact in general you can tell "Now this two are husband and wife"

Binafsi alikuwa anani treat vizuri as shemeji japo nilkuwa kadogo kadogo alikuwa ananiheshimu "alikuwa ananiita mume mdogo"

Upande wa code alikuwa hajivungi atatupia zake suruali ya jeans most of the times na shati ya aina yeyote ile juu luckily bro ndo vilikuwa vitu anapendelea so ikawa unyama

At that point bro alikuwa ashachoka maisha ya ubachela kitu pekee alikuwa anawaza ni amuweke ndani mtoto wa watu so akampanga binti wa wenyewe

Mara ya kwanza jibu lake lilikuwa "mapema sana ngoja" bro akamuuliza shida nini au unafeli wapi maelezo yake yakawa "bado bado kidogo tujuane vizuri zaidi" cha kuweka kichwani ni kwamba haya mahusiano yana zaidi ya mwaka

After three months bro akamkumbushia "Mama twenzetu ukweni taratibu zingine zifate" manzi ikazingua tena kwa kigezo chake kile kile kwamba wasubiri bado mapema, mwamba alijaa sumu sema akavunga tu akasikilizia

Three month later bro anakumbushia tena uku kichwani akiwaza "it's now or never" bahati mbaya sana this time tena shemeji akachomoa "Tutaonaona tu wasiwasi wako nini ngoja mambo yangu yakae sawa tutaenda kwenu"

Jibu la mwamba lilikuwa "Ok, kwahiyo hapa tatizo we mambo yako bado alafu mimi yangu tayari, basi ngoja mi nimtafute aliyetayari na ukimaliza mambo yako pia utampata atayekuwa tayari kwa mda huo"

Hayo ndo maneno ya mwisho ya direct bro anamuambia yule manzi maana baada ya hapo ilikuwa ni mfulilizo wa message na calls ambazo bro hakujibu

Kuna siku alinitumia text "we criminal atakuja hapo yule manzi mwambie funguo ya chumbani kwangu nimeondoka nayo" kweli alikuja pale na akanikuta akaenda kuangalia funguo inapokuaga hakuikuta maana nilielekezwa niitoe akaja kuniuliza mimi ikabidi nimdanganye tu nadhani na yeye alijua kuwa nilimdanganya akaondoka zake na sikuwahi kumuona tena mpaka leo

Baada ya bro kurudi ikabidi nimuulize akanipa mkanda mzima, mi nikamuuliza mbona anaonekana kujuta hajaomba msamaha kwani

Akanijibu "Ameomba msamaha na amesema yupo tayari saizi twende hata leo, sasa swali ni je kama yupo tayari twende hata leo kwanini alikuwa anazingua siku hizo zote, hapa wenda kuna jamaa mwingine alikuwa ana msikilizia au anaona ndoa inaenda kumbana na yeye bado anataka kuponda ujana"

Anaendelea "dogo kama mwanamke anajiuliza mara mbili mbili kuolewa na wewe usijiulize mara mbili mbili kumpiga chini kwa sababu mwanamke anayekuthamini kweli atataka uwe mali yake halali as soon as possible"

Bro now is in a happy marriage with different beautiful, educated, humble woman

Asa leo nilikuwa napiga story na jamaa ndo akawa ananiambia manzi yake anazingua kwenda kumtambulisha kwao ndio nikakumbuka how kings handle it

Till then.....
Yeah!...Kuna ujumbe muhimu sana hapa wa kujifunza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom