Ni kweli mkuu,wazazi wanakosa mda wa kutosha na watoto hasa wakifika ktk ngazi hii ya chuo......Sidhani wanajua pia kuwa vidume vyao vinajifanyaga faza house vikiwepo chuo. Vinafikia hadi kuhama hostel na kuingia kitaa ambako wanaishi kabisa na watoto wa watu na kuwapachika hadi mimba.
Ipo haja ya wazazi kujihususha zaidi na maisha ya watoto wao.
Mkuu mtoto katafunwa miaka yote ya chuo (3,4,5) afu akitoka hapo anapaswa kuolewa duh! Mana chuo kikiisha na hyo ndoa ya chuo ndo hua imevunjika.Halafu wakimaliza chuo kila mmoja anakwenda kivyake .Mwanamke anakuja kwako umuowe akati alisha ishi miaka 3 na njemba ndani
Kuna haja kubwa sana ya wazazi kuwafuatilia watoto wao wawapo chuoni
Saa nyingine kwenye maisha unapokosa mtu wa kukukemea inakuwa tabu sana ,,pia unapo toka kwenye imaya ya kukemewa na haujakomaa vizuri kiakili ,inakuwa pia tabu sana
Sawa, lakini umejuaje kuwa manito hawataki kufanya kazi za nyumbani wakiwa nyumbani kwao?Habari zenu wana JF,leo nmeona nilete bandiko lenye kichwa hiko cha habari hapo juu...
Kwa kuanza napenda kueleza kua,binafsi nmebahatika kusoma ktk taasisi tofauti za elimu ya juu na katika mikoa tofauti... nikimaanisha College kwa ajili ya diploma na University kwa ajili ya bachelor degree,katika mikoa miwili tofauti...
Katika mazingira hayo nimeshuhudia mabinti katika asilimia kubwa wakifanya mambo ya kusikitisha katika miaka yao yote vyuoni...binti ambae akiwa nyumbani hataki kusaidia kazi ndogo ndogo za nyumbani,basi akiwa chuoni anakaa chumba kimoja kama mume na mke na kijana wa kiume au hata mtu mzima kwa miaka yote anapokua chuo,zaidi ya hapo anafanya kazi zote za hapo getoni...anapika anafua nguo zake na za mumewe,anafanya usafi wa geto lakini pia anatoa unyumba kila siku kwa sababu wanalala kitanda kimoja! Bahati mbaya binti akiwa nyumbani hafanyi na hataki hata kuosha kikombe chake alichonywea chai yeye mwenyewe....na hii ni asilimia kubwa sana ya mabinti wanaishi hivi wakiwa mavyuoni.
Wazazi tafakarini na muongee na watoto wenu wakike wanaosoma chuo mjue uhalisia wa maisha yao wanapokua vyuoni.
NB: kila nikiwaza hivi napata jawabu kwanini ndoa zimekua ngumu sana skuiz,mabinti wamekua wakianza maisha ya ndoa kabla ya muda wake hvo wanapata experience ambayo ni ya uongo kuhusu ndoa...na hili ni tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro kwani si namimi ni mwana familia pia ni jirani wa familia nyingine pia ni rafiki wafamilia nyingine...nakosaje kuyajua hayo! Swali lako ni level ya chini mno...Sawa, lakini umejuaje kuwa manito hawataki kufanya kazi za nyumbani wakiwa nyumbani kwao?
Ni changamoto mno...Hii ipo sana vyuoni na mbaya zaidi hawazingatii kilichowapeleka vyuoni,wazazi wanajitahidi sana kwa Hali na Mali watoto wao wasome lakini wakifika vyuoni wanachukua majukumu ya kuwa wake au waume,hakuna ndoa itakayodumu baada ya maisha ya hapo na Kama ikitokea ni chache Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wakimaliza chuo kila mmoja anakwenda kivyake .Mwanamke anakuja kwako umuowe akati alisha ishi miaka 3 na njemba ndani
Kuna haja kubwa sana ya wazazi kuwafuatilia watoto wao wawapo chuoni
Saa nyingine kwenye maisha unapokosa mtu wa kukukemea inakuwa tabu sana ,,pia unapo toka kwenye imaya ya kukemewa na haujakomaa vizuri kiakili ,inakuwa pia tabu sana
Utashangaa unaoa mtoto katokea chuo,kama kafanya kitu kibaya ukamuwashia mziki utasikia,mbona wanaune wenzako hawako/hawafanyi hivyo?unabaki kujiuliza huyu kajuaje haya mambo...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mtoto katafunwa miaka yote ya chuo (3,4,5) afu akitoka hapo anapaswa kuolewa duh! Mana chuo kikiisha na hyo ndoa ya chuo ndo hua imevunjika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utashangaa unaoa mtoto katokea chuo,kama kafanya kitu kibaya ukamuwashia mziki utasikia,mbona wanaune wenzako hawako/hawafanyi hivyo?unabaki kujiuliza huyu kajuaje haya mambo...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Simply, common sense is not common.Bro kwani si namimi ni mwana familia pia ni jirani wa familia nyingine pia ni rafiki wafamilia nyingine...nakosaje kuyajua hayo! Swali lako ni level ya chini mno...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanakua na wrong perception kuhusu ndoa!Inakera sana ,mm sitaoa mwanamke yoyote aliye toka chuoni kama sina taarifa zake za kutosha, ,bora yule aliye chapwa siku moja moja kuliko yule aliye ishi na njemba kabisa
Ndo maana mabinti wanamaliza elimu zao wanakosa Watu wa kuishi nao
Ni kweli mkuu,vyuo kwa sasa ni sehem hatarishi mno kwa upande wa malezi na ukuaji wa watoto.Mtoa mada uliyoeleza ni machache sana kwa watoto wanaosoma vyuoni. Yanayofanyika huko yanatisha na kutia kinyaa. Hatuna budi kuwaombea hawa watoto wetu...