Je, WasafiBet ni ya Diamond Platinumz? Ukweli huu Hapa

Mchongo ulikua wa billion tatu, diamond alilipwa toka mwaka jana, lobbiest aliye sababisha mchongo alipigwa, alitaka asilimia kumi, diamond akataka kumchukulia poa, amkadirie.

Kampuni ingefunguliwa toka mwaka jana, kuchelewa kumetokana na nagotiator kutia mgomo, baada ya diaomd kutaka kumrusha pesa

Nafikir kuanza mwaka huu, tofaut zao walisha zimaliza
 
Ushauri wenu kwangu wadau wa kubeti unatakiwa kufanya Nini ili uweze kushinda kwenye kubet na vp wasafibet wapo vizur kwa odds
 
Back
Top Bottom