Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,536
- 30,604
Unaongelea wapinzani as if siyo watanzania kwani mahusiano ya Tanzania na nchi zingine ni mahusiano binafsi ya CCM siyo ya Tanzania nzima?Huwezi ku linganisha Tanzania tuliyo nayo mwaka 2020 na Tanzania tuliyo kuwa nayo mwaka 1961. Nyerere kuwa rais wa kwanza kuna tokana na yeye kuwa mtu aliye ongoza Tanzania kutoka katika mifumo ya ki koloni. Kupata undani wa kilicho tokea kipindi hicho ni ngumu lakini vile vile katika masuala haya ni vyema kuji uliza kama kulikuwa na mtu mwingine ambaye angekuwa sahihi zaidi kuliko mwalimu Nyerere...