Uchaguzi 2020 Je, Wapinzani wana uwezo wa kuunda Serikali imara?

Unatuaminisha hiyo CCM ina serikali imara?? Katiba katika katiba.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Tuwe wakweli, Lissu anaweza kuongoza Serikali? Kwa akili ipi? Siwezi kumzunhumzia Salum Mwalimu maana huyo hata U Sheha hawezi seuse Umakamu wa Rais?
 

Attachments

  • Magufuli overpowerful.docx
    183.2 KB · Views: 4
  • Busu kwa Tundu Lissu.docx
    126 KB · Views: 3
Back
Top Bottom