Uchaguzi 2020 Je, Wapinzani wana uwezo wa kuunda Serikali imara?

Tuwe wakweli, Lissu anaweza kuongoza Serikali? Kwa akili ipi? Siwezi kumzunhumzia Salum Mwalimu maana huyo hata U Sheha hawezi seuse Umakamu wa Rais?
Mpaka sasa hivi, mgombea mwenza wa Tundu Lissu ni nani?
 
Hawana huo uwezo, ndio maana 2015 walivunja mpaka katiba yao ili kumpa mwenye uwezo kugombea. Wakajua jamaa atapita, ile awavushe wana saccos wote watanzania tukawa very smart. Safari hii, wembe ni ule ule.
 
Hawana huo uwezo, ndio maana 2015 walivunja mpaka katiba yao ili kumpa mwenye uwezo kugombea. Wakajua jamaa atapita, ile awavushe wana saccos wote watanzania tukawa very smart. Safari hii, wembe ni ule ule.
 
Hii ni hoja mufilisi ya kikoloni.. hata wakoloni wa mwanzo walisema Nyerere na wenzake wasingeweza kuendesha nchi maana hawakuwa na uzoefu, fedha, wasomi, nk.

Mbona mh pombe kateua wapinzani wengi kumsaidia, Nani alikwambia rais lzm ateue wa chama chake pekee?
 
Huwezi ku linganisha Tanzania tuliyo nayo mwaka 2020 na Tanzania tuliyo kuwa nayo mwaka 1961. Nyerere kuwa rais wa kwanza kuna tokana na yeye kuwa mtu aliye ongoza Tanzania kutoka katika mifumo ya ki koloni. Kupata undani wa kilicho tokea kipindi hicho ni ngumu lakini vile vile katika masuala haya ni vyema kuji uliza kama kulikuwa na mtu mwingine ambaye angekuwa sahihi zaidi kuliko mwalimu Nyerere...
Hujaona watu wanateuliwa toka vyuoni wanakuwa mawaziri, nk. Hata kama hawajawahi kuwa wanasiasa? Mfano Dr Philip Mpango (fedha), Prof Ndalichako (elimu), Prof Kabudi, Prof Mbalawa, nk
 
Huwezi ku linganisha Tanzania tuliyo nayo mwaka 2020 na Tanzania tuliyo kuwa nayo mwaka 1961. Nyerere kuwa rais wa kwanza kuna tokana na yeye kuwa mtu aliye ongoza Tanzania kutoka katika mifumo ya ki koloni. Kupata undani wa kilicho tokea kipindi hicho ni ngumu lakini vile vile katika masuala haya ni vyema kuji uliza kama kulikuwa na mtu mwingine ambaye angekuwa sahihi zaidi kuliko mwalimu Nyerere...
Awamu hii ya Tano vyama vya upinzani vinaweza kuwa na mahusiano ya nje mazuri kuliko serikali ya CCM!
 
Wewe unadhani uzoefu ndo excuse, nchi haendeshwi kama gari hata wapinzani wakishika watafanya poa usitoe ignorant thoughts
Daudis,
Tatizo ni pale watu wanapodhani kuwa,wasomi wote n.a. wataalamu wa nchi hii ambao ni wengi sana na wapo kila mahali ni Mali ya chama fulani.
 
Hawana huo uwezo, ndio maana 2015 walivunja mpaka katiba yao ili kumpa mwenye uwezo kugombea. Wakajua jamaa atapita, ile awavushe wana saccos wote watanzania tukawa very smart. Safari hii, wembe ni ule ule.
Kwani ktk ule uchaguzi nani alishinda?
 
Hapo ndio maajabu yanapoanzia. Hii nchi sio saccos, watanzania lazima wajue huu ukweli. Kule kurukaruka jukwaani kwa jazba, kukashfu kila Serikali ifanyacho hakuwezi kuwasaidia. Watanzania wanaona, wanaelewa na wataamua.Nyie na saccos yenu, jipangeni kwanza 2040.
Unazijua kura mil 6?Na mwaka huu ni zaidi ya hizo!Sasa huoni unaandika ujinga uliopuuzwa!
 
Daudis,

Nini maana ya Serikali imara?

Mbona CCM awamu hii imeshindwa kuunda serikali imara?

Serikali imara ni ile inayoendeshwa kwa kuzingatia katiba, sheria, haki za watu na yenye weledi wa kujua vipaumbele vya Taifa.

Serikali ya awamu hii imekuwa bingwa wa kuvunja sheria, kukiuka katiba, kuvunja haki za raia. Imekuwa serikali ya kuonea watu na kubagua watu. Ni serikali ya kimabavu. Ni serikali iliyoua uwekezaji na mzunguko wa fedha. Ni serikali isiyo maono. Ni serikali inayopalilia ubaguzi na utengano. Hii ni setikali dhaifu kuliko zote.

Usije ukachamganya, ukadhani serikali ya kimabavu ndiyo inaashiria uimara. Serikali imara ni ile inayolifanya Taifa kuwa imara. Na Taifa imara hujengwa na umoja wa kitaifa. Kwa sasa Taifa limejaa nyufa kila sehemu. Nyifa za ukabila, nyufa za ukanda, nyufa za ubaguzi wa kivyama, n.k.
 
Ukiacha Burundi, jiwe ana mahusiano yoyote ya maana na nchi gani?
Unapo enda mlimani city na ku enjoy kuku wa KFC lazima ufahamu kwamba, ili hio KFC iwepo mlimani city lazima kuna diplomacy flani. Lazima kuna mahusiano flani na sisi wenyewe hatu wezi ku ruhusu mtu yoyote afanye kazi pale.

Kitu kidogo kama hicho kinaweza kuwa na maafa makubwa sana. Tuangalie kwenye madini, ambapo kampuni ya Barrick gold ya Canada ina husika kwenye uchimbaji, hapo pia lazima kuna mahusiano flani kati ya Tanzania na Canada. Tafakari.
 
Daudis,

Tutaunda serikali ya watanzania siyo ya wanachama.

Kuna watanzania milioni 59.7 tutakosaje watu wa kuunda serikali.

CHADEMA hatubagui watanzania kwa itikadi zao huo ushetani ni wa jiwe na washenzi wenzie kama wewe.
 
Unapo enda mlimani city na ku enjoy kuku wa KFC lazima ufahamu kwamba, ili hio KFC iwepo mlimani city lazima kuna diplomacy flani. Lazima kuna mahusiano flani na sisi wenyewe hatu wezi ku ruhusu mtu yoyote afanye kazi pale. Kitu kidogo kama hicho kinaweza kuwa na maafa makubwa sana. Tuangalie kwenye madini, ambapo kampuni ya Barrick gold ya Canada ina husika kwenye uchimbaji, hapo pia lazima kuna mahusiano flani kati ya Tanzania na Canada. Tafakari...
Pole sana ndugu yangu. Unauelewa duni sana kuhusu mahusiano ya demokradia na shughuli za kisiasa na uchumi. Kama unauelewa hata ule wa kawaida, jibu maswali yafuatayo utajiongezea maarifa:

1) China, Urusi au Saudi Arabia, ni nchi za kidemokrasia?

2) Nchi gani inayoongoza katika kuvutia uwekezaji wa kimataifa (FDI)

3) Nchini China katika makampuni 10 top, kuna makampuni mangapi ya China?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini maana ya Serikali imara?

Mbona CCM awamu hii imeshindwa kuunda serikali imara?...
Serikali imara, kutokana na nilicho eleza, ni serikali yenye mahusiano mazuri na nchi zingine. Ukitaka kujenga barabara za lami vijijini uta waita ASTRA, kampuni ya kimarekani iliyo bobea kwenye masuala ya ujenzi. Diplomacy my dear
 
Back
Top Bottom