Je, wanaume tuwaulize vipi hili swali? "Ulikuwa wapi"

Je, wanaume tuwaulize vipi hili swali? "Ulikuwa wapi"

Tumieni voice tone ambayo haionyeshi kukasirika au kuwa na hasira vinginevyo ndio mtajibiwa, "It is none of your business." Kwani ukiuliza swali hili huku ukionyesha mapenzi kwa mume/BF kuna ubaya gani!?

Voice tone ya kimahaba??
lakini still swali liwe ULIKUWA WAPI???
 
Always nasema wanaume watakaopata bahati ya kuoana na wanawake wenye haya ya kuuliza na wasio na wivu basi watafaidi sana upendo...though kuna risk zake...Sisemi watu wachelewe kurejea nyumbani bila sababu maalumu ila ile umefunguliwa gate na ulikuwa wapi hadi saa hizi,umetoka kwa malaya zako n soforth inaudhi jamani...

okey
ujasema unajua wat to do?
 
Ukiniuliza nikakujibu, mfano

'Nilikuwa baa nakunywa'

Usinihoji zaidi. Nikitaka kukusimulia yote nitakusimulia. Nisipotaka, ukanisukuma....
Hivi ndivyo wanaume tulivyo. Nshakuambia nilikuwa bar, kwamba nilikuwa nagida mtungi..... sasa maswali mengine ya nini tena?

Au wanafikiri kama nlikuwa nagegeda kamchepuko ntasema???
 
Mkuu BAK, voice tone inamata sana kwenye uulizaji wa kitu, swali hilohilo ukiuliza kwa maneno na sauti fulani unaweza jibiwa vizuri na ukiuliza kwa sauti nyingine utajibiwa tofauti kabisa.

voicetone kwa mambo mengi sana nadhani inamata
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi ndivyo wanaume tulivyo. Nshakuambia nilikuwa bar, kwamba nilikuwa nagida mtungi..... sasa maswali mengine ya nini tena?

Au wanafikiri kama nlikuwa nagegeda kamchepuko ntasema???

hahaha babu ki ukweli hapa napata point
SIONI UMUHIMU WA KUULIZA SWAHILI HILI
maana hata kama ulikua na mchepuko hautaniambia
 
Sijawahi liuliza Gozi langu "ulikuwa wapi" hata siku moja. Nnamuamini na nnajiamini, si leo wala jana, toka ujanani.

Siioni sababu ya kumuuliza swali hilo, kwani limekaa kishari.

Vijana jiepusheni na maswali ya kiugomvi-ugomvi kwa waume zenu.
 
hahaha babu ki ukweli hapa napata point
SIONI UMUHIMU WA KUULIZA SWAHILI HILI
maana hata kama ulikua na mchepuko hautaniambia
Soma busara za wamama wakongwe hapa chini

Sijawahi liuliza Gozi langu "ulikuwa wapi" hata siku moja. Nnamuamini na nnajiamini, si leo wala jana, toka ujanani.

Siioni sababu ya kumuuliza swali hilo, kwani limekaa kishari.

Vijana jiepusheni na maswali ya kiugomvi-ugomvi kwa waume zenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom