0890
Member
- Jul 11, 2015
- 29
- 44
Ndugu Mungu ametupa uhuru wa kuchagua tutakacho kama mpenzi wa kusoma biblia ukisoma wa waraka wa yuda mtume anasma Mungu amjalibu mtu bali tunajalibiwa na vitu viku vitatu 1.tamaa zetu mbaya 2.ulimwengu na 3.shetaniHabari zenu wakuu,swali Hilo linanisumbua Sana,je Ni kweli tuna uwezo WA kuamua nini cha kufanya juu ya maisha yetu??je tuna uwezo WA kuchagua wema au ubaya??sio hatma yetu imeshaamriwa kabla??nimesoma thread ya member flani akizungumzia kisa cha Yuda na Yesu,je yuda alikua na free will au tayari ishapangwa aje amsaliti yesu???..karibuni..
ndio maana ata wa kina adam na eva walikuwa na uamuzi waasi au wawe watii
ukisoma philosopy(plato-form) amejalibu kuelezea jisi ilivyo adi tunaamua tunayoyaamua lakini ukweri ndani yetu kuna ukweli wote