Je wanadamu tuna FREE WILL??

Nataka kujua kwaiyo Mungu kaniumba ila anajua Mimi wa Motoni au mbinguni.maana anasema nakujua kabla sijakuumbeni.
Yes, anajua kuwa wewe ni wa motoni au mbinguni lakini haiondoi dhana kuwa Yeye hana cha kupoteza.
Loser au winner ni wewe binadamu ambaye umepewa Practice Standards (Sheria 10 za Mungu) aidha uzifuate au uzipige chini kadiri free will yako itakavyokutuma ufanye.
 
Kipimo kipi! Mtu wa mbinguni anaweka ubongo wa kimalaika na mtu wa motoni ubongo wa kishetani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom