Je wajua...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wajua...?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nokla, Oct 28, 2012.

 1. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  1) Unaweza kutoa gesi yenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia kwa KUJAMBA mfululizo kwa miaka 6 na miezi 9
  2) Hakuna Pundamilia anayefanana mistari na wenzake?
  3) DREAMT ndiyo neno pekee katika lugha ya Kiingera linaloishia na herufi MT....
  4) Macho yako hayakui tangu uzalie ila Pua na Masikio hukua milele?
  5)............
  6)............

  Endelea tafadhali
   
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Hii nimeipenda. Na mimi nongezea

  Iwapo unatafuna big g wakati unakata vitunguu, kamwe hutatokwa na machozi
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  macho hayakui?pleasee
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ningezaliwa na jicho hili nilonalo sasa, mbona ningetisha?!

  And I didn't
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  huwezi kupiga chafya ukiwa macho, lazima ufumbe!
   
 6. l

  lukme Senior Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kunya na kukojoa haviendi sambamba. lazima kimoja kimtangulie mwenzake
   
 7. Jagarld

  Jagarld JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,530
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  yah,u r right
   
 8. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Na mara zote mkojo ndiyo huwa unatangulia, cjui kwanini!
   
 9. Inferiority Complex

  Inferiority Complex JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 2,704
  Likes Received: 1,121
  Trophy Points: 280
  Binadamu hawezi kujitekenya na akacheka,Jeikei ndiye rais pekee duniani aliyesafiri mara nyingi zaidi akiwa madarakani.
   
 10. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Marekani ni kubwa kwa km za mraba mara 10 ya tanzania,mnyama mrefu ni twiga na nyoka aina ya anaconda.Kwa maana ya urefu wa kwenda juu ni twiga na urefu wa mlalo(horizontal) ni anaconda,maji ya mto nile yanayokatiza ziwa victoria kamwe huwa hayachanganyiki,
   
 11. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Mh! hata ukiwa unaharisha?
   
 12. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ... hivi unaweza kufikia kileleni ukiwa macho wazi?
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Chura hula chakula kwa kutumia macho!!.....:nimekataa
   
 14. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Jina lako haliwakilishi chochote kile kilichopo mwilini mwako bali NAFSI isiyoonekana.
  jina la BUBU MSEMAOVYO haliwakilishi chochote kama kichwa, mkono , moyo nk.
  Vyote hivyo vitaitwa: Kichwa cha BUBU MSEMAOVYO, mkono wa .... moyo wa ....NK
   
 15. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Tanzania ni nchi yenye utajiri wa kupindukia lakini raia wake wanaongoza kwa ujinga,umasikini
   
 16. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye red nimebaki hoi kwa kweli
   
 17. A

  Amri kuu ni Upendo JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 310
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu rudi tena kashauriane na mwalimu wako wa jiografia.MAJI YA MTO NILE YANATOKA ZIWA VICTORIA NA KUMWAGA MEDITERRANEAN SEA, NA SIYO TU KUTOCHANGANYIKA, BALI MAJI YA MTO NILE NI MAJI HALISI YA ZIWA VICTORIA. Na kamwe mto Nile haukatizi Ziwa Victoria bali Unatoka ziwa victoria! Daka hiyo itakusaidia wewee...!!!
   
 18. Life.co.tz

  Life.co.tz JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 613
  Likes Received: 267
  Trophy Points: 80
  .... Huwez fika kileleni na kukojoa kwa pamoja ndani k**a kamwe?
   
 19. A

  Amri kuu ni Upendo JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 310
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni lazima macho yawe wazi kwa sababu kileleni mtelemko(slope) ni mkali mno, so ukifumba macho waweza teleza, kuang uka na hata kufa kabisa endapo utabiringita mpaka chini!
   
 20. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Kilele cha mlima au cha nini? Mbona sielewi mimi?
   
Loading...