Je wajua...?

Je wajua...?

Neno., "Book-keeping" ndio neno lenye herufi nyingi zinazojirudiarudia
 
Ziwa Nyasa ni ziwe pekee duniani lenye aina nyingi(species) ya samaki.Inasadikiwa kuwa na aina 500 tofauti za samaki! Hongereni wakunyumba!
 
In fact size ya jicho lako lilivyo sasa ndivyo ulivyozaliwa!Kinachokua ni mifupa ya kichwa na sockets za macho kupanuka huku misuli ya nyuma ya jicho ikilisukuma nje! Ukitaka kuhakikisha angalia mtoto aliyezaliwa: utaona asilimia kubwa ya jicho ni cheusi! Weupe huanza kuja polepole
 
Istanbul - mji mkuu wa Uturuki ndio mji mkuu pekee duniani ulio kwenye mabara mawili tofauti! Nusu ipo Asia na nusu Ulaya!
 
huwezi kula denda huku macho yakiwa wazi ni lazima uyafumbe
 
nyengine hizi hapa!
101. kwamba Dodoma ndio nji mkuu pekee wenye waendeleo finyu ukilinganisha na miji mikuu mengine duniani.
102. kwamba Dar es Salaam ndio mji mkuu pekee wa kibiashara (commercial hub) duniani ambao wakaazi wake wengi
hawana hela na style ya maisha ni ya kawaida tu.
103. kwamba wanaotumia mkono wa kushoto huwa wanafanya vizuri shuleni
104. kwamba nafikiria mambo mengine zaidi.....
 
6) Ukiwa unajisaidia haja ndogo (kukojoa) lazima uteme mate either wakati au baada ya kukojoa mkojo
 
Duma (Ocnonyx jibatus) ndie mnyama mwenye mwendo kasi zaidi duniani 120km/h(75mph), wakati Kobe ndie mnyama mwenye mwendo mdogo zaidi kuliko wote duniani....!!
 
Mkuu rudi tena kashauriane na mwalimu wako wa jiografia.MAJI YA MTO NILE YANATOKA ZIWA VICTORIA NA KUMWAGA MEDITERRANEAN SEA, NA SIYO TU KUTOCHANGANYIKA, BALI MAJI YA MTO NILE NI MAJI HALISI YA ZIWA VICTORIA. Na kamwe mto Nile haukatizi Ziwa Victoria bali Unatoka ziwa victoria! Daka hiyo itakusaidia wewee...!!!

Na kama alisoma private akadai ada yote maana wamemuibia!
 
Mkuu rudi tena kashauriane na mwalimu wako wa jiografia.MAJI YA MTO NILE YANATOKA ZIWA VICTORIA NA KUMWAGA MEDITERRANEAN SEA, NA SIYO TU KUTOCHANGANYIKA, BALI MAJI YA MTO NILE NI MAJI HALISI YA ZIWA VICTORIA. Na kamwe mto Nile haukatizi Ziwa Victoria bali Unatoka ziwa victoria! Daka hiyo itakusaidia wewee...!!!

santeeeh!nlishaanza kuwapa watu fiksi hapa..
 
Kuna aina mbalimbali za ndizi duniani zipatazo 500. Huko Cuba ambako ndizi ni chakula kikuu wana aina za mapishi ya ndizi yanayokaribia 30
 
Back
Top Bottom