Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,351
- 4,197
Ndugu yangu biblia ni neno la ufunuo. Halisomwi ovyo ovyo tu.
Hebu soma hapa:-
Pasipo mashauri taifa huanguka; Bali kwa wingi wa washauri huja wokovu.
Mithali 11:14
Huyo aliesema hivyo ni muhenga wa walioleta kitabu kwa meli ambae ni ‘mtakatifu’.
Wewe muhenga wako ambae ni ‘mzimu’ alisema hivi; Miluzi mingi humpoteza mbwa njia.